Prof. Kabudi: Tanzania ndio tunaratibu mapambano ya Corona kwa nchi za SADC na Waziri Ummy aliongoza kikao cha kupanga mikakati mwezi Machi

Hizo ni zilipendwa, gia ili badilika baada ya mapapai kutest positive.
 
Akiwasilisha hotuba ya makadirio ya wizara ya mambo ya nje na ushirikiano wa Afrika mashariki Prof Kabudi amesema Tanzania ndio mratibu wa mipango ya kudhibiti Corona kwa nchi za SADC.

Prof Kabudi amesema mwezi March mwaka huu waziri wa afya mh Ummy Mwalimu aliongoza kikao cha mawaziri wa afya kwa nchi za SADC na kuweka mpango kazi ambao baadae uliridhiwa na kikao cha baraza la mawaziri wa SADC alichokiongoza yeye ( Prof Kabudi)

Pia Kabudi amesema hivi karibuni Rais Magufuli ambaye ndiye mwenyekiti wa SADC ameziomba taasisi za fedha duniani na nchi wahisani kuziondolea madeni nchi za SADC ili ziwexe kushiriki kikamilifu katika kulidhibiti janga hili hatari la Corona.

Source: Channel ten

Maendeleo hayana vyama!
Lugha za kuomba pesa wakati wa bajeti huwa zinaongezewa minofu ya samaki.
 
Akiwasilisha hotuba ya makadirio ya wizara ya mambo ya nje na ushirikiano wa Afrika mashariki Prof Kabudi amesema Tanzania ndio mratibu wa mipango ya kudhibiti Corona kwa nchi za SADC.

Prof Kabudi amesema mwezi March mwaka huu waziri wa afya mh Ummy Mwalimu aliongoza kikao cha mawaziri wa afya kwa nchi za SADC na kuweka mpango kazi ambao baadae uliridhiwa na kikao cha baraza la mawaziri wa SADC alichokiongoza yeye ( Prof Kabudi)

Pia Kabudi amesema hivi karibuni Rais Magufuli ambaye ndiye mwenyekiti wa SADC ameziomba taasisi za fedha duniani na nchi wahisani kuziondolea madeni nchi za SADC ili ziwexe kushiriki kikamilifu katika kulidhibiti janga hili hatari la Corona.

Source: Channel ten

Maendeleo hayana vyama!
Nakumbuka kikao walifanya kwa Video conference na pia Waziri Ummy aliliongelea sema vibaraka wa Mabeberu hawajali kupotosha
 
Ramaphosa na kiherehere chake kumbe alikuwa anaropoka tu

Ramaphosa alishindwa kuwatetea Wananchi wake waliouawa migodini akawatetea Wazungu

Ndio nikijua hamna kitu pale
We jamaa aisee
 
May 13, 2020
Tunduma, Tanzania

Uchumi wa wananchi umetetereka kufuatia hatua ya Zambia kufunga mpaka

Janga la Corona limeathiri kwa kiasi kikubwa shughuli za kibiashara katika mji wa Tunduma ambao uko kwenye mpaka wa Tanzania na Zambia. Wakazi wa eneo hilo wana hofia huenda hali ikazorota zaidi baada ya Zambia kuufunga mpaka wake na kuwaacha madereva wa malori na wakazi wengine wa Tunduma na hofu ya kuendelea kuporomoka kiuchumi.
Source : BBC News Swahili
 
Ukisoma comments za wabongo wakijadili serikali yao na viongozi wao yani unaona kabisa kuwa mambo yanayofanywa na viongozi wao si kwamba ni bahati mbaya bali ni kutokana wananchi wao wenyewe walivyo. Yani comments za humu kwenye habari za serikali basi utaona vijembe, dharau, kwamba hakuna lolote la maana kila linafanywa halina maana.

Kwa kifupi watu wanaongea mbovu na si kukosoa tena, kuna wakati unawezakukuta nchi jirani inajadili suala lenye kuhusu serikali ya Tz katika hali nzuri na pengine limewafikirisha hilo suala ila ukija kutizama mijadala ya wabongo unakuta hali tofauti.
 
Ujiulizi kwann hao wananchi wamekuwa hivyo? Kwann wametokea kuichukia nchi yao kiasi hicho? Kuna wakati ukiwa km mkuu wa familia ukiona members hawakupendi jaribu kujiangalia unakosea wp.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Athari ya kuwa muongo uliekubuhu unafikia kiasi cha kuamini uongo wako kuwa ni kweli tupu. Kiuhalisia hayo pia ni maradhi, tena maradhi mabaya sana.
Uongo wako kuwa ni kweli tupu = Uongo wako kuwa ni ukweli mtupu..
 
Akiwasilisha hotuba ya makadirio ya wizara ya mambo ya nje na ushirikiano wa Afrika mashariki Prof Kabudi amesema Tanzania ndio mratibu wa mipango ya kudhibiti Corona kwa nchi za SADC.

Prof Kabudi amesema mwezi March mwaka huu waziri wa afya mh Ummy Mwalimu aliongoza kikao cha mawaziri wa afya kwa nchi za SADC na kuweka mpango kazi ambao baadae uliridhiwa na kikao cha baraza la mawaziri wa SADC alichokiongoza yeye ( Prof Kabudi)

Pia Kabudi amesema hivi karibuni Rais Magufuli ambaye ndiye mwenyekiti wa SADC ameziomba taasisi za fedha duniani na nchi wahisani kuziondolea madeni nchi za SADC ili ziwexe kushiriki kikamilifu katika kulidhibiti janga hili hatari la Corona.

Chanzo: Channel ten

Maendeleo hayana vyama!
Kweli ukiwa kiongozi hata maneno yako yanaishi sio ka huyu Meko,
Za kuambiwa changanya na zako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndugu mkadanganyane wenyw huko kwa wagonga meza
Ukisoma comments za wabongo wakijadili serikali yao na viongozi wao yani unaona kabisa kuwa mambo yanayofanywa na viongozi wao si kwamba ni bahati mbaya bali ni kutokana wananchi wao wenyewe walivyo. Yani comments za humu kwenye habari za serikali basi utaona vijembe, dharau, kwamba hakuna lolote la maana kila linafanywa halina maana.

Kwa kifupi watu wanaongea mbovu na si kukosoa tena, kuna wakati unawezakukuta nchi jirani inajadili suala lenye kuhusu serikali ya Tz katika hali nzuri na pengine limewafikirisha hilo suala ila ukija kutizama mijadala ya wabongo unakuta hali tofauti.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo jasiri wa kuongea uongo huku kakutumbulia macho!!!

"corona ipo tuchukue tahadhari"
 
Ujiulizi kwann hao wananchi wamekuwa hivyo? Kwann wametokea kuichukia nchi yao kiasi hicho? Kuna wakati ukiwa km mkuu wa familia ukiona members hawakupendi jaribu kujiangalia unakosea wp.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ukizungumzia chuki kwa jinsi chuki ilivyo ni kwamba ukishamjengea mtu chuki basi kila jambo la huyo mtu wewe huona baya kwamba hakuna jema kwa huyo mtu na hiyo ni kutokana unamchukia huyo mtu, kwahiyo utaona hapo unamtazama mtu kwa jicho la chuki na ndio linafanya uone kila kitu kutoka kwa huyo mtu ni kibaya kitu ambacho kwenye uhalisia si sahihi. Sasa kibaya ni kwamba unakuta unataka na kila mtu achukie unayemchukia au amjadili mtu kwa chuki kama ulivyo wewe hutaki mtu unayemchukia aelezewe kwa mazuri yake.

Lakini huwa najiuliza hivi hiki kiwango cha chuki kinachooneshwa humu ni kweli ni kiwango sahihi anachostahili huyo anayechukiwa?
 
Kwann unachukiwa? Uliwafanya nn? Kuna kitu unafanya wenzio hawakipendi ndio inatakiwa ujiangalie mfumo wako wa maisha ukoje.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom