Prof. Kabudi: Tuna changamoto ya upotoshaji, watumiaji wa taarifa huziamini bila kuthibitisha

Prof. Kabudi: Tuna changamoto ya upotoshaji, watumiaji wa taarifa huziamini bila kuthibitisha

JamiiCheck

JF-Expert Member
Joined
Nov 3, 2023
Posts
245
Reaction score
267
Kauli ya Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Prof. Palamagamba Kabudi inakukumbusha kuwa kabla ya kuamini na kusambaza Taarifa unayokutana nayo ndani na nje ya mtandao ni muhimu Kuithibitisha Uhalisia wake ili kuepusha Taarifa Potofu.

Unapohitaji msaada wa Uthibitishaji Taarifa, tembelea jukwaa la JamiiCheck.com na kuiwasilisha ili kupata Uhalisia.

 
Back
Top Bottom