Mwakalinga Bujo
JF-Expert Member
- Oct 22, 2008
- 2,718
- 1,441
Hizo zote ni njama za CCM,mbona Rosam aziz,Ridhwani Kikwete na kikwete mwenyewe walivyomwaga mamilioni kwa Bashe ili kuwania urais wa federation hawakulizungumzia? Vikao vya waislam seminar rooms za education muda wa saa saba na tisa kupanga mikakati ya kupata urais ili watumie pesa za wanafunzi wanazolipa kujengea msikiti Nghonghona hawajalizungumzia? Suala la wale ma-ustadhat waliomchoma na pen,kumpiga mawe Ferdinand wa college of education mbona walikuwa kimya? Hawakuliona hilo? Suala la Kikula kuchelewesha kukamatwa kwa waliohusika kumpiga Ferdinand hadi amri ilipotoka kwa mkuu wa polisi,inakuwaje hapa kama si hata viongozi wa chuo wenyewe kuunga mkono UDINI? Mwisho chunguza ajila nyingi za UDOM,fanya tathmini,waislamu ni wengi kuliko wakristo,ina maana wakristo hakuna walio-qulify? Waache watege mabomu ambayo mwisho yatawalipukia wenyewe,mwisho UDOM MSIINGIZE SIASA KATIKA ELIMU,FANYENI KAZI MSIFUNGAMANE NA CHAMA CHOCHOTE,TUWE INTELLECTUALS NA SI KU-SAVE THE INTEREST OF GOVERNMET.
Udom hakuna udini nyie ni waongo na wanafiki wakubwa haooooooo
Wadau leo asubuhi hapa College of Informatics and virtual education (CIVE) - UDOM palikua na tukio la kuwaapisha viongoz wapya wa serikali ya wanafunzi ngazi ya college. Miezi kadhaa hapa nyuma kumefanyika chaguzi ngazi ya federation na college ambazo waziwazi ziliegemea udini kutokana na ushabiki wa wazi toka kwao na madai ya maelekezo toka ikulu.
La kushangaza ni wakati wa speech yake VC Prof Kikula,pasi ya kujitambua akitapa tapa kujaribu addressing ya ishu ya udini ambayo hapa UDOM imeota mizizi mara akaropoka " NANI ASIYEJUA HUU UDINI UMELETWA NA BARAZA LA MAASKOFU" ,akaenda mbali zaidi akiomba timu ya kumsaidia kupambana na blog na forum ambazo anadai zinawachafua. Kweli hawa majamaa nimeamini sasa kwamba wapo hapa Magamba Agent.
NAOMBA KUWASILISHA, Nilikua kwenye eneo la tukio.
Udom hakuna udini nyie ni waongo na wanafiki wakubwa haooooooo
Du! aisee nami nakumbuka mbali sana, ila c tulitia fora pale jamaa aliposhinda tukaanza kushangilia Yesu! Yesu! Lkn lazima tukubali wakristo tuliwazidi kete waislam hasa hapa Social, kusema kweli Bashe alistahiki kuwa kiongozi ana sifa zote kuliko yule dada, lakini kwa kuwa tulikula kiapo cha kutowapigia kura waislam nami tukawatekeza!
Nina wasi wasi na halimashauri yako ya kichwa,sijui unafikiri kwa kutumia makalio au? Au unagongwa wewe? Sasa unabishana na wanaosoma UDOM? Unataka kutukanwa au umetumwa na mamluki wenzako we ****, wafikishie ujumbe huu kuwa UDOM KUNA UDINI, NA CHANZO NI KIKWETE NA KIKULA, NINA TAKWIMU, VIELELEZO NA USHAHIDI, Jinga wewe!