Prof. Kindiki anatoa onyo kwa Odinga dhidi ya dhidi ya maandamano yenye vurugu

Huo ushauri wako sishangai watanzania kuzidi kuwa maskini na Ccm kuzidi kutawala
Hujamwelewa mtoa mada. Maome tena between lines. Hapo ameandika kinyume. Nilivyomuelewa ni kinyume na alivyoandika. Hapo dhana ya ujumbe ipo kinyume na maneno yake. Amini kwamba.
 
Watch out kuanzia jumatano hadi ijumaa maandamano..nachokiona ni moto kukolezwa...kila mtu akipeleka vijana wake kupambana hali itakuwaje? Wameamua kuchoma nchi yao....
 
Pale ruto hana namna miaka 5 yake itakua ya dhoruba la wenye nchi
 
Kwani katiba inasemaje kuhusu maandamano?
 
Hayo maandamano yao ni ya njaa waachane nayo wayahamishie kwetu. Sisi angalau tuna sababu za msingi za kuandamana. Nchi inapelekwa utumwani Babeli kwa mwarabu tukiwa tunashuhudia mchana kweupe.
Da'Mange akiwaambia muingie barabarani mnajificha uvunguni.🤣🤣
 
Ruto ni moja wa marais mafala sana.
Raila ni kitu kidogo tu anatulia.

Ajifunze kwa Uhuru.
Ruto anabweka kila siku lakini Odinga anafanya atakavyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…