Prof Kindiki Ruksa kuapishwa, Mahakama yathibitisha

Jopo la majaji watatu - Mahakama Kuu nchini Kenya limetoa uamuzi kuwa Naibu Rais (Mteule) Professor Kithure Kindiki kuapishwa baada ya Gachagua kufukuzwa na Seneti.

Source: Citizen TV
Huyu atajuta kwa ujinga wake wa kung'ang'ania UDP badala ya angejiuzulu iki ajipange kwa mtifuano mwaka 2027.

Waswahili huwa tuna msemo: amekosa mwana na maji ya moto.
 
Wanasheria wake walimdanganya waendelee kupiga pesa
 
Back
Top Bottom