Huyu atajuta kwa ujinga wake wa kung'ang'ania UDP badala ya angejiuzulu iki ajipange kwa mtifuano mwaka 2027.Jopo la majaji watatu - Mahakama Kuu nchini Kenya limetoa uamuzi kuwa Naibu Rais (Mteule) Professor Kithure Kindiki kuapishwa baada ya Gachagua kufukuzwa na Seneti.
Source: Citizen TV
Wawakilishi toka Tanganyika wanatarajiwa kuwasili muda wowote huko Nairobi.Wanasheria wake walimdanganya waendelee kupiga pesa
Wakiongozwa na Tundu Lissu😎Wawakilishi toka Tanganyika wanatarajiwa kuwasili muda wowote huko Nairobi.