Prof Kitila: Bajeti ya 2025|26 miradi mikubwa itatekelezwa kwa PPP

Itaharibikaje?
 
Kazi na iendelee kufanyika
 
CCM baba lao kwenye miradi
 
PPP imekuwa wimbo karibu kila sekta tunahitaji kwenda polepole
 
Zile 2100km za PPP walizozindua na kafulila zipo wapi?
 
Hawa jamaa wa chadema (Kafulila &Co) wanataka kuunda miradi hewa, vinginevyo watuambie kwamba hao private sector wana cash mkononi
Ndo hapo sasa mwaka juzi walizingua miradi Hewa ya km 2100 Za barabara
 
Kitila is doing good👏👏👏
 
PPP haiwezi kuharibu nchi badala yake inajenga nchi
 
Sawa Prof,
 
Prof Kitila ni kichwa sana huyu jamaa
 
Kitila ni mtulivu sana
 
Blah blah kama ivo kawaida ya maccm na serikali yao

Huwa Kuna kitu wataalamu wa sayansi ya siasa wakiita political will
Ndicho tunavhokikosa

Kama hiyo pppp Haina maslahi kwa chama na vigogo wake Wachache itakufa kabla ya kuanza

Pili Huwa tunakuripika hatufanyi utafiri kama mfumo huu unatufaa kwenye mazingira yetu,

nakumbuka alivyoingia mkapa bila maandalizi ya kutosha akatuletea sera ya binafsishaji ambao mpaka Leo nl maumiviu makubwa kwa nchi

Wenye akili tunahisi serekali imefirisika uwezo wa kukusanya mapato na kugharamia miradi umefail

Matycon wa ccm wamepora na kujimilikisha vyanzo vyote vya mapato nchi Haina vyanzo vya mapato
Ndo wanakuja na hizi sera za PPPP

Tumeona juzi wamepora bandari na mbuga ya ngorongoro
Tz Kwisha Habari yake

Tanroads iko chali
 
Nairudia kwa sauti kuu, ccm wameifirisi lnchi nchi imekosa vyanzo vya uhakika vya mapato

Matycon ndani ya ccm wamejimilikisha vyanzo muhimu vya mapato hivyo kuinyima nchi mapato ya kugharamia miradi mikubwa

Nchi yenye bandari, madini, misitu na mbuga, eti imeshindwa kugharamia miradi mkubwa

marekani na ulaya Kuanzia Karne ya 15 mpaka 19 zimejengwa kwa rasilimali asili. Haya mambo ya PPPP ni kwa nchi ambazo hazina rasilimali

Hivi UAE wanatumia PPPP au rasilimali mafuta kujenga Dubai na qutar

Hivi china watumishi pPPP au rasilimali na mapato ya ndani??
 
Nchi yetu ni tulivu na ina utulivu mkubwa wa kisiasa.nina imani kubwa sana na PPP hasa kutokana na uwepo wa Mzalendo wa kweli, mchapakazi na kijana mwenye maono ,uadilifu na weledi Mheshimiwa David Kafulila.
Lucas kwa kazi unayoifanya utakuwa Tajiri sana
 
Kitila Mkumbo ni akili kubwa sana tutarajie makubwa
 
Lakini Kwa nchi kama zetu hizi za 10% PPP haiwezi kukubalika na wenye mamlaka, Watu walizoea kutumia pesa ya Serikali kujenga miradi na kuzigeuza kuwa zao na hata wakikupa kazi lazima uwaache na chochote,PPP mpaka ipenye sio rahisi
Uongo huu
 
Ivi Kitila ni chama Gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…