Free Country
Senior Member
- Jun 9, 2024
- 116
- 83
Nyie darasa la Saba mnasumbua sana humu jfRubbish Professor
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nyie darasa la Saba mnasumbua sana humu jfRubbish Professor
BN kwa post zake JF hawezi kuwa darasa la saba. NopeNyie darasa la Saba mnasumbua sana humu jf
Ni hovyo kabisa mkuuTazania maamuzi ya kisiasa tena yale ya majukwaani huathiri biashara na sera ambazo hazina muelekeo Tanzania wanatumia sana unyumbu wa kisiasa
Sawa dada anguNyie darasa la Saba mnasumbua sana humu jf
27 October 2024
IMF - UTAWALA BORA NDIYO KIVUTIO KWA WAWEKEZAJI
IMF yazishauri nchi za kiafrika kuongeza uwigo wa mapato ya ndani ili mataifa ya kiafrika kuepukana na utegemezi wa mikopo kutoka nje.
Katika mahojiano mkurugenzi mtendaji wa IMF Bi. Kristalina Georgieva amesema kodi za ndani na pia miradi ya PPP kwa kushirikiana na matajiri / makampuni ya ndani ya nchi husika ndiyo njia ya kuondokana na mitego ya madeni
Makusanyo ya nchi yawe angalau 15% ya GDP ya nchi, hii itasaidia kupunguza utegemezi wa mikopo kutoka nje ya nchi ili kuendesha uchumi wa nchi
Pia good governance / utawala bora ni muhimu katika kutia imani pia kuvutia wawekezaji wa ndani na nje kuweka mitaji, ingawa tunaona malalamiko ya ubeberu tukishauri baadhi ya serikali kuhusu utawala bora amesema Bi. Kristalina Georgieva
View: https://m.youtube.com/watch?v=0mMb2w4LTEU
The International Monetary Fund’s managing director Kristalina Georgieva talks to VOA about the future of Africa. “We very strongly believe in Africa's potential, ” she says and stresses the importance of good governance as a precondition for economic growth. She focuses on the importance of good governance as a precondition for economic growth.
Kwa kujivunia kutoka moyoni bila kuwa na ulaghai wa kutumia 4R kuwezesha chama chake pekee kuwa na wabunge 100% bunge la taifa na bunge la majimbo, Mheshimiwa Cyril Ramaphosa wa South Africa anajivunia jinsi ANC ilivyovuna 40 % ya kura huku chama kinachofuatia DA 21 % huku asilimia zilizobaki 39% zimegawana vyama vingine vidogo.As part of his itinerary during his visit to New York for the United Nations General Assembly, President Cyril Ramaphosa has spent the day engaging with the American business community. Earlier, the president had encouraged American business people to explore and seize business opportunities in South Africa. He is about to address the American business forum at the New York Stock Exchange
Wewe ndio dada Mimi ni babakoSawa dada angu
Nikweli kabisa nakubaliana na hili maana PPP kila mtu anafanya mradi kulingana na ukubwa wa pochi yakePPP inaweza kuifanya Tanzania kama US kwa mwaka mmoja tu lakini lazima nchi iwe na utulivu wa kisiasa
Ppp. Kutoka kibaha to chalinze. Then Kibaha to chanikaUko sahihi,
Ila kumbuka PPP inaongozwa Kwa mujibu wa Sheria
Safi sana na hongereni kwa ubunifu huoPpp. Kutoka kibaha to chalinze. Then Kibaha to chanika
Nijambo jemaSafi sana na hongereni kwa ubunifu huo
🤣🤣Msukule wa MboweSawa dada angu
Wako huu ni uongo tuLakini Kwa nchi kama zetu hizi za 10% PPP haiwezi kukubalika na wenye mamlaka, Watu walizoea kutumia pesa ya Serikali kujenga miradi na kuzigeuza kuwa zao na hata wakikupa kazi lazima uwaache na chochote,PPP mpaka ipenye sio rahisi
Huwa namwamini sana Prof Kitila
WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji, Profesa Kitila Mkumbo amesema Bajeti ya mwaka 2025/2026 kipaumbele kikubwa kitakuwa ni utekelezaji wa miradi mikubwa kwa ushirikiano na Sekta Binafsi na Umma (PPP), ili kukuza uchumi kwa kasi.
Prof. Kitila Mkumbo, amesema hayo mbele ya Kamati ya Kudumu ya Bajeti ya Bunge ambapo amenukuu kanuni ya 113(1) na (2) ya kanuni za kudumu za Bunge iliyochapishwa Februari 2023, ambapo mapendekezo hayo yanawasilishwa kwa kamati ili kukusanya maoni kutoka kwa wabunge wakati wa maandalizi.
Amesema Serikali imejipanga kutumia mfumo wa PPP katika utekelezaji wa miradi mikubwa, hivyo katika bajeti ijayo wataweka nguvu huko kibajeti.
"Katika mwaka wa fedha 2025/26 kipaumbele cha bajeti kitaelekezwa kwenye PPP kwani ndio njia inayoweza kutekeleza miradi mikubwa inayochochea ukuaji wa uchumi na maendeleo," amesema.
Amesema mapendekezo hayo yameweka mazingira ya mpango wa maendeleo wa taifa, unaozingatia kuimarisha uwekezaji katika sekta mbalimbali, kujenga uchumi imara, kuongeza uzalishaji wa viwanda na kuboresha huduma za umma.
“Mapendekezo ya mpango wa maendeleo wa taifa wa 2025/26 yanaongozwa na dira ya maendeleo ya taifa 2025, ambayo inalenga kuiweka Tanzania kati ya nchi za kipato cha kati ifikapo mwaka 2025 na kufikia viwango vya juu vya maendeleo ya binadamu,” amesema.
Soma Pia: Miradi ya PPP iliyopo katika tovuti ambayo yahitaji wawekezaji wa nje, kwanini wawekezaji wakimbilia Tanesco pekee ambayo haimo hata kwenye orodha?
Waziri Kitila amesema mapendekezo hayo yanajikita katika kuendeleza na kutekeleza mipango ambayo inatoa matokeo katika maeneo matano ya kipaumbele yaliyoainishwa katika mpango wa tatu wa miaka mitano.
Pia ametaja maeneo muhimu ambayo yatatekelezwa kwa mfumo wa PPP ni miundombinu ya usafiri na uzalishaji wa viwanda.
Amongeza kuwa jumla ya miradi 17 bora imepangwa kutekelezwa katika mwaka ujao wa fedha, huku akibainisha mafanikio kutoka kwa mpango wa sasa wa maendeleo wa 2023/24.
Kwa upande wake Mwenyekiti wa Kamati hiyo, Oran Njeza ameipongeza serikali kwa kuja na mpango huo na kwamba matarajio yao ni kuona miradi inatekelezwa kwa ufanisi.
PPP iliyochini ya kituo cha Ubia nchi PPP-CETRE chini ya Mkurugenzi wake Bw David Kafulila na katika Serikali ya Sita ya Rais Samia Suluhu Hassan wameonesha wazi nchi inaweza kutekeleza miradi mingi na mikubwa bila kutumia Kodi Wala Mikopo toka katika taasisi na mashirika tofauti tofauti ya ndani na nje ya nchi kwenye miradi hasa yenye sura ya kibiashara na hivyo kuopa nafuu nchi kutekeleza miradi mingine isiyo na sura hiyo ya kibiashara.
Minister: PPP projects crucial in next Budget | The Guardian
www.ippmedia.com
Sasa huo ubia ipoje?? Na kama 50% au 51% n.kPPP sio ubinafsishaji ila ni Ubia,
Ubia maana yake wote share
Swali fikirishi je mazingira ya biashara Tanzania ni wezeshi?Sasa huo ubia ipoje?? Na kama 50% au 51% n.k
Pili moja Akita kujitoa inakuwaje??? Kama hujasikia MTU kuwekeza $30m lakini akitaka kutoka unamlip $300m.
23 September 2024
New York City
Mahojiano na rais Cyril Ramaphosa kuhusu jinsi 4R zilivyoiinua imani ya wananchi na wafanyabishara ndani ya nchi na wale wawekezaji kutoka nje
JINSI CYRIL RAMAPHOSA ANAVYOTUMIA 4R ZA UKWELI, KAMA ZANA YA KUVUTIA MAENDELEO
View: https://m.youtube.com/watch?v=4gF-YkcFMFQ
Kwa kujivunia kutoka moyoni bila kuwa na ulaghai wa kutumia 4R kuwezesha chama chake pekee kuwa na wabunge 100% bunge la taifa na bunge la majimbo, Mheshimiwa Cyril Ramaphosa wa South Africa anajivunia jinsi ANC ilivyovuna 40 % ya kura huku chama kinachofuatia DA 21 % huku asilimia zilizobaki 39% zimegawana vyama vingine vidogo.
Kupitia 4R za ukweli nchi inaendelea kuwa na mihimili huru ya Bunge, Mahakama na vyombo vya habari.
Hali hiyo imewapa imani wawekezaji wa ndani wana imani kuwekeza zaidi ndani na pia hali hiyo inavutia wawekezaji zaidi kutoka nje.
Kutokana na kuwa na kuaminiana ndani, South Africa imekuwa mfano kwa mataifa dada jirani zilizo nchi za SADC na mbali zaidi.
4R za ukweli zisizo na hila ovu zimemuondolea rais wa South Africa kutokukosa usingizi na kuwaza kutumia majeshi ya usalama kama polisi na usalama wa taifa kuwatishia raia.
kutokana na mazingira mazuri yaliyoletwa na 4R kupitia serikali ya Umoja wa Kitaifa GNU, sana nchi ina nafasi ya kutumia viongozi wa vyama vingine vya kisiasa katika kulitumikia taifa ktk nafasi za kiuongozi na hivyo nchi kufaidika na kila raia aliye na upana wa maono bila kujali wametoka vyama vingine.
Tofauti na kama ingekuwa utawala wa kimabavu, kuzuia raia kufikia nafasi za kiuamuzi kupitia kura walizopata baada ya kuaminiwa na wapiga kura waliowacgagua katika uchaguzi ulio wazi, huru na wa haki kuanzia ngazi ya mchakato wa mikutano ya vyama vyao, kampeni hadi kutangazwa wameshinda.
Source: SABC News
Watendaji wengi wa gavoo wamezoea 10 % huu utakuwa kama utamaduni mgeni kwao.Lakini Kwa nchi kama zetu hizi za 10% PPP haiwezi kukubalika na wenye mamlaka, Watu walizoea kutumia pesa ya Serikali kujenga miradi na kuzigeuza kuwa zao na hata wakikupa kazi lazima uwaache na chochote,PPP mpaka ipenye sio rahisi
Tatizo la huyo Kafulila ni Uraia japo ni mjapakazi mzuri ila kila kizuri kinakasoro
WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji, Profesa Kitila Mkumbo amesema Bajeti ya mwaka 2025/2026 kipaumbele kikubwa kitakuwa ni utekelezaji wa miradi mikubwa kwa ushirikiano na Sekta Binafsi na Umma (PPP), ili kukuza uchumi kwa kasi.
Prof. Kitila Mkumbo, amesema hayo mbele ya Kamati ya Kudumu ya Bajeti ya Bunge ambapo amenukuu kanuni ya 113(1) na (2) ya kanuni za kudumu za Bunge iliyochapishwa Februari 2023, ambapo mapendekezo hayo yanawasilishwa kwa kamati ili kukusanya maoni kutoka kwa wabunge wakati wa maandalizi.
Amesema Serikali imejipanga kutumia mfumo wa PPP katika utekelezaji wa miradi mikubwa, hivyo katika bajeti ijayo wataweka nguvu huko kibajeti.
"Katika mwaka wa fedha 2025/26 kipaumbele cha bajeti kitaelekezwa kwenye PPP kwani ndio njia inayoweza kutekeleza miradi mikubwa inayochochea ukuaji wa uchumi na maendeleo," amesema.
Amesema mapendekezo hayo yameweka mazingira ya mpango wa maendeleo wa taifa, unaozingatia kuimarisha uwekezaji katika sekta mbalimbali, kujenga uchumi imara, kuongeza uzalishaji wa viwanda na kuboresha huduma za umma.
“Mapendekezo ya mpango wa maendeleo wa taifa wa 2025/26 yanaongozwa na dira ya maendeleo ya taifa 2025, ambayo inalenga kuiweka Tanzania kati ya nchi za kipato cha kati ifikapo mwaka 2025 na kufikia viwango vya juu vya maendeleo ya binadamu,” amesema.
Soma Pia: Miradi ya PPP iliyopo katika tovuti ambayo yahitaji wawekezaji wa nje, kwanini wawekezaji wakimbilia Tanesco pekee ambayo haimo hata kwenye orodha?
Waziri Kitila amesema mapendekezo hayo yanajikita katika kuendeleza na kutekeleza mipango ambayo inatoa matokeo katika maeneo matano ya kipaumbele yaliyoainishwa katika mpango wa tatu wa miaka mitano.
Pia ametaja maeneo muhimu ambayo yatatekelezwa kwa mfumo wa PPP ni miundombinu ya usafiri na uzalishaji wa viwanda.
Amongeza kuwa jumla ya miradi 17 bora imepangwa kutekelezwa katika mwaka ujao wa fedha, huku akibainisha mafanikio kutoka kwa mpango wa sasa wa maendeleo wa 2023/24.
Kwa upande wake Mwenyekiti wa Kamati hiyo, Oran Njeza ameipongeza serikali kwa kuja na mpango huo na kwamba matarajio yao ni kuona miradi inatekelezwa kwa ufanisi.
PPP iliyochini ya kituo cha Ubia nchi PPP-CETRE chini ya Mkurugenzi wake Bw David Kafulila na katika Serikali ya Sita ya Rais Samia Suluhu Hassan wameonesha wazi nchi inaweza kutekeleza miradi mingi na mikubwa bila kutumia Kodi Wala Mikopo toka katika taasisi na mashirika tofauti tofauti ya ndani na nje ya nchi kwenye miradi hasa yenye sura ya kibiashara na hivyo kuopa nafuu nchi kutekeleza miradi mingine isiyo na sura hiyo ya kibiashara.
Minister: PPP projects crucial in next Budget | The Guardian
www.ippmedia.com
Hapa ndio shida inaanziaWatendaji wengi wa gavoo wamezoea 10 % huu utakuwa kama utamaduni mgeni kwao.
Umempenda nani Sasa hapo?Hii nimeipenda sana