WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji, Profesa Kitila Mkumbo amesema Bajeti ya mwaka 2025/2026 kipaumbele kikubwa kitakuwa ni utekelezaji wa miradi mikubwa kwa ushirikiano na Sekta Binafsi na Umma (PPP), ili kukuza uchumi kwa kasi.
Prof. Kitila Mkumbo, amesema hayo mbele ya Kamati ya Kudumu ya Bajeti ya Bunge ambapo amenukuu kanuni ya 113(1) na (2) ya kanuni za kudumu za Bunge iliyochapishwa Februari 2023, ambapo mapendekezo hayo yanawasilishwa kwa kamati ili kukusanya maoni kutoka kwa wabunge wakati wa maandalizi.
Amesema Serikali imejipanga kutumia mfumo wa PPP katika utekelezaji wa miradi mikubwa, hivyo katika bajeti ijayo wataweka nguvu huko kibajeti.
"Katika mwaka wa fedha 2025/26 kipaumbele cha bajeti kitaelekezwa kwenye PPP kwani ndio njia inayoweza kutekeleza miradi mikubwa inayochochea ukuaji wa uchumi na maendeleo," amesema.
Amesema mapendekezo hayo yameweka mazingira ya mpango wa maendeleo wa taifa, unaozingatia kuimarisha uwekezaji katika sekta mbalimbali, kujenga uchumi imara, kuongeza uzalishaji wa viwanda na kuboresha huduma za umma.
“Mapendekezo ya mpango wa maendeleo wa taifa wa 2025/26 yanaongozwa na dira ya maendeleo ya taifa 2025, ambayo inalenga kuiweka Tanzania kati ya nchi za kipato cha kati ifikapo mwaka 2025 na kufikia viwango vya juu vya maendeleo ya binadamu,” amesema.
Waziri Kitila amesema mapendekezo hayo yanajikita katika kuendeleza na kutekeleza mipango ambayo inatoa matokeo katika maeneo matano ya kipaumbele yaliyoainishwa katika mpango wa tatu wa miaka mitano.
Pia ametaja maeneo muhimu ambayo yatatekelezwa kwa mfumo wa PPP ni miundombinu ya usafiri na uzalishaji wa viwanda.
Amongeza kuwa jumla ya miradi 17 bora imepangwa kutekelezwa katika mwaka ujao wa fedha, huku akibainisha mafanikio kutoka kwa mpango wa sasa wa maendeleo wa 2023/24.
Kwa upande wake Mwenyekiti wa Kamati hiyo, Oran Njeza ameipongeza serikali kwa kuja na mpango huo na kwamba matarajio yao ni kuona miradi inatekelezwa kwa ufanisi.
PPP iliyochini ya kituo cha Ubia nchi PPP-CETRE chini ya Mkurugenzi wake Bw David Kafulila na katika Serikali ya Sita ya Rais Samia Suluhu Hassan wameonesha wazi nchi inaweza kutekeleza miradi mingi na mikubwa bila kutumia Kodi Wala Mikopo toka katika taasisi na mashirika tofauti tofauti ya ndani na nje ya nchi kwenye miradi hasa yenye sura ya kibiashara na hivyo kuopa nafuu nchi kutekeleza miradi mingine isiyo na sura hiyo ya kibiashara.

Hawa Wapuuzi wamekopa wamefika mwisho sasa wanataka kuiuza nchi kwa Wawekezaji kupitia hizo PPP .... Kitila Mkumbo na Kafulila acheni kuitumbukiza nchi shimoni.

Lakini Kwa nchi kama zetu hizi za 10% PPP haiwezi kukubalika na wenye mamlaka, Watu walizoea kutumia pesa ya Serikali kujenga miradi na kuzigeuza kuwa zao na hata wakikupa kazi lazima uwaache na chochote,PPP mpaka ipenye sio rahisi
Tangu Kafulila ameteuliwa mwaka 2022 mpaka leo mradi gani wa PPP umefanikiwa zaidi ya kuongea kila siku sijui watajenga mabweni kupitia PPP, ni utapeli na ulaghai

Hauwezi kuwa na tija matokeo yake wataua uchumi wa nchi endapo hakutakuwa na uwiano wa wazawa na wageni pamoja na mazingira wezeshi ambayo ni shirikishi siyo ya kwenye makaratasi, mimi nashauri wageni wasipewe miradi ya ppp wapewe matajiri wa ndani lakini kwa uangalizi maalumu
Nakukumbusha kwamba bidhaa nyingi tunazo tumia hatuzishalishi wenyewe hata huduma nyingi tunazozitumia ama kuzisimamia siyo waanzilishi wa hizo huduma nyingi ni copy and paste
Yaani miradi na mitaji ya kwako halafu ushindwe kuiendesha tena unaibuni mwenyewe, ndiyo hapo ujue kwamba nchi hii ina wajinga
Expecting results from what you know, yaani unajua kwamba kuna mazingira mabovu ya biashara unataka eti watuvwengine waje kufanikiwa kama siyo kuja kutupiga tu na kuondoka
Ujinga ninao sema ni wa kutotaka kujifunza kwanini biashara zinakufa Tanzania na nini kifanyike
IMF yazishauri nchi za kiafrika kuongeza uwigo wa mapato ya ndani ili mataifa ya kiafrika kuepukana na utegemezi wa mikopo kutoka nje.
Katika mahojiano mkurugenzi mtendaji wa IMF Bi. Kristalina Georgieva amesema kodi za ndani na pia miradi ya PPP kwa kushirikiana na matajiri / makampuni ya ndani ya nchi husika ndiyo njia ya kuondokana na mitego ya madeni
Makusanyo ya nchi yawe angalau 15% ya GDP ya nchi, hii itasaidia kupunguza utegemezi wa mikopo kutoka nje ya nchi ili kuendesha uchumi wa nchi
Pia good governance / utawala bora ni muhimu katika kutia imani pia kuvutia wawekezaji wa ndani na nje kuweka mitaji, ingawa tunaona malalamiko ya ubeberu tukishauri baadhi ya serikali kuhusu utawala bora amesema Bi. Kristalina Georgieva
The International Monetary Fund’s managing director Kristalina Georgieva talks to VOA about the future of Africa. “We very strongly believe in Africa's potential, ” she says and stresses the importance of good governance as a precondition for economic growth. She focuses on the importance of good governance as a precondition for economic growth.
IMF yazishauri nchi za kiafrika kuongeza uwigo wa mapato ya ndani ili mataifa ya kiafrika kuepukana na utegemezi wa mikopo kutoka nje.
Katika mahojiano rais wa IMF amesema kodi za ndani na pia miradi ya PPP kwa kushirikiana na matajiri / makampuni ya ndani ya nchi husika ndiyo njia ya kuondokana na mitego ya madeni
The International Monetary Fund’s managing director Kristalina Georgieva talks to VOA about the future of Africa. “We very strongly believe in Africa's potential, ” she says and stresses the importance of good governance as a precondition for economic growth. She focuses on the importance of good governance as a precondition for economic growth.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.