Prof. Kitila: Haiwezekani nchi ikaendelea kwa kuendelea kuwa na bunge linalojadili ujenzi wa matundu ya vyoo

Mwanamwana

Platinum Member
Joined
Aug 1, 2011
Posts
9,604
Reaction score
22,722
Waziri wa Mipango na Uwekezaji, Profesa Kitila Mkumbo amesema mpango wa maendeleo wa Miaka mitano umejengwa kwa misingi ya Serikali kuu kuachia mamlaka ya kiutawala na kifedha kwenda chini.

Waziri Kitila Mkumbo amesema hayo wakati anazungumza na wakuu wa mikoa nchi nzima kwa ajili ya uhakika wa uhakiki wa rasimu ya pili ya kuboresha mazingira ya uwekezaji na biashara nchini unaendelea.
 
Waziri wa Mipango na Uwekezaji, Profesa Kitila Mkumbo, leo Machi 11, 2026 alipokuwa akizungumza na Wakuu wa Mikoa nchini katika mkutano wa Uhakiki wa Rasimu ya Mpango wa pili wa kuboresha mazingira ya Biashara na Uwekezaji (MKUMBI II) amesema Nchi hatuwezi kuendelea kwa bunge linalojadili matundu ya vyoo na madawati bungeni...hatutoka. Bungeni wanapaswa kujadili mambo makubwa ya kwenda mwezini.

Haiwezekani kwenda mwezini kabla hatujawa na vyoo vya kutosha
 
Huyu nae prof uchwara, zao la jalalani.
Najutia kupita Jalalani mie, kisa watu km hawa aaah.
 
Waziri wa Mipango na Uwekezaji, Profesa Kitila Mkumbo, leo Machi 11, 2026 alipokuwa akizungumza na Wakuu wa Mikoa nchini katika mkutano wa Uhakiki wa Rasimu ya Mpango wa pili wa kuboresha mazingira ya Biashara na Uwekezaji (MKUMBI II) amesema Nchi hatuwezi kuendelea kwa bunge linalojadili matundu ya vyoo na madawati bungeni...hatutoka. Bungeni wanapaswa kujadili mambo makubwa ya kwenda mwezini.

Na wahusika wapi wanamcheka
 
Wabunge wa kujadili kwenda mwezini hawa wa kujua kusoma na kuandika majina yao tu? Wanaojiunga TEWW baada kupelekwa kwa damu? Hope ni episode ingine to ya lile igizo letu kuu.

Tunaposema katiba mpya tunamaanisha kutengeneza mifumo kwanza ikiwa na pamoja na kuwapata watu wenye sifa ya kujadili hizo ndoto kwa kuzitambua sio wanaitika tu kama ng'ombe wakiulizwa wanaosema ndioooo na wanasema siyooo! Kwa ss hivi that far fertched dream wapige per diem zao warudi zao kula kande mikoani huko
 
Waziri wa Mipango na Uwekezaji, Profesa Kitila Mkumbo amesema mpango wa maendeleo wa Miaka mitano umejengwa kwa misingi ya Serikali kuu kuachia mamlaka ya kiutawala na kifedha kwenda chini.

Waziri Kitila Mkumbo amesema hayo wakati anazungumza na wakuu wa mikoa nchi nzima kwa ajili ya uhakika wa uhakiki wa rasimu ya pili ya kuboresha mazingira ya uwekezaji na biashara nchini unaendelea.
View attachment 3556360
Jiuzuli

Jiuzuli nyadhifa zote tujue huyo ni dhamira na sii unaa wa kitanzania?
 
Waziri wa Mipango na Uwekezaji, Profesa Kitila Mkumbo amesema mpango wa maendeleo wa Miaka mitano umejengwa kwa misingi ya Serikali kuu kuachia mamlaka ya kiutawala na kifedha kwenda chini.

Waziri Kitila Mkumbo amesema hayo wakati anazungumza na wakuu wa mikoa nchi nzima kwa ajili ya uhakika wa uhakiki wa rasimu ya pili ya kuboresha mazingira ya uwekezaji na biashara nchini unaendelea.
View attachment 3556360
Hatuwezi kuendelea kwa kuwa na bunge la NDIYO kwa mwenyekiti wa chama na HAPANA kwa upande wa pili hata kama kuna tija. Bunge la kupiga makofi asubuhi na jioni na kusifia hata uozo haliwezi kuwaza maendeleo
 
Waziri wa Mipango na Uwekezaji, Profesa Kitila Mkumbo amesema mpango wa maendeleo wa Miaka mitano umejengwa kwa misingi ya Serikali kuu kuachia mamlaka ya kiutawala na kifedha kwenda chini.

Waziri Kitila Mkumbo amesema hayo wakati anazungumza na wakuu wa mikoa nchi nzima kwa ajili ya uhakika wa uhakiki wa rasimu ya pili ya kuboresha mazingira ya uwekezaji na biashara nchini unaendelea.
View attachment 3556360
Kwenda mwezini? Labda mwezini kwa maana ya menstrual period!
 
Back
Top Bottom