Mwanamwana
Platinum Member
- Aug 1, 2011
- 9,604
- 22,722
Na wahusika wapi wanamchekaWaziri wa Mipango na Uwekezaji, Profesa Kitila Mkumbo, leo Machi 11, 2026 alipokuwa akizungumza na Wakuu wa Mikoa nchini katika mkutano wa Uhakiki wa Rasimu ya Mpango wa pili wa kuboresha mazingira ya Biashara na Uwekezaji (MKUMBI II) amesema Nchi hatuwezi kuendelea kwa bunge linalojadili matundu ya vyoo na madawati bungeni...hatutoka. Bungeni wanapaswa kujadili mambo makubwa ya kwenda mwezini.
JiuzuliWaziri wa Mipango na Uwekezaji, Profesa Kitila Mkumbo amesema mpango wa maendeleo wa Miaka mitano umejengwa kwa misingi ya Serikali kuu kuachia mamlaka ya kiutawala na kifedha kwenda chini.
Waziri Kitila Mkumbo amesema hayo wakati anazungumza na wakuu wa mikoa nchi nzima kwa ajili ya uhakika wa uhakiki wa rasimu ya pili ya kuboresha mazingira ya uwekezaji na biashara nchini unaendelea.
View attachment 3556360
Jiuzuli nyadhifa zote tujue huyo ni dhamira na sii unaa wa kitanzania?Waziri wa Mipango na Uwekezaji, Profesa Kitila Mkumbo amesema mpango wa maendeleo wa Miaka mitano umejengwa kwa misingi ya Serikali kuu kuachia mamlaka ya kiutawala na kifedha kwenda chini.
Waziri Kitila Mkumbo amesema hayo wakati anazungumza na wakuu wa mikoa nchi nzima kwa ajili ya uhakika wa uhakiki wa rasimu ya pili ya kuboresha mazingira ya uwekezaji na biashara nchini unaendelea.
View attachment 3556360
Hatuwezi kuendelea kwa kuwa na bunge la NDIYO kwa mwenyekiti wa chama na HAPANA kwa upande wa pili hata kama kuna tija. Bunge la kupiga makofi asubuhi na jioni na kusifia hata uozo haliwezi kuwaza maendeleoWaziri wa Mipango na Uwekezaji, Profesa Kitila Mkumbo amesema mpango wa maendeleo wa Miaka mitano umejengwa kwa misingi ya Serikali kuu kuachia mamlaka ya kiutawala na kifedha kwenda chini.
Waziri Kitila Mkumbo amesema hayo wakati anazungumza na wakuu wa mikoa nchi nzima kwa ajili ya uhakika wa uhakiki wa rasimu ya pili ya kuboresha mazingira ya uwekezaji na biashara nchini unaendelea.
View attachment 3556360
Kwenda mwezini? Labda mwezini kwa maana ya menstrual period!Waziri wa Mipango na Uwekezaji, Profesa Kitila Mkumbo amesema mpango wa maendeleo wa Miaka mitano umejengwa kwa misingi ya Serikali kuu kuachia mamlaka ya kiutawala na kifedha kwenda chini.