Prof Kitila Mkumbo aibukia KKKT Kimara kwa Mchungaji Matsai, mchungaji amshukuru Rais Magufuli kwa flyover za Ubungo

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Mgombea Ubunge wa jimbo la Ubungo Prof Mkumbo leo amesali katika Kanisa la KKKT Kimara na hajatakiwa kuongea chochote kwa sababu yeye ni mgombea wa chama cha siasa.

Hata hivyo mchungaji Matsai amemtaka Prof Mkumbo kufikisha shukrani za usharika huo kwa Rais Magufuli ikiwemo ujenzi wa flyover za Ubungo na namna alivyoitokomeza Corona.

Mchungaji amewashangaa wanaokebehi maendeleo ya vitu na kusema watu hao hawajui walisemalo.

Maendeleo hayana vyama!
 
Mwambie huyu mchungaji ampigie kura otherwise tutahama hiloll kanisa kama anajiingiza kwenye siasa na njaa yake..
 
Mgombea Ubunge wa jimbo la Ubungo Prof Mkumbo leo amesali katika Kanisa la KKKT Kimara na hajatakiwa kuongea chochote kwa sababu yeye ni mgombea wa chama cha siasa.

Hata hivyo mchungaji Matsai amemtaka Prof Mkumbo kufikisha shukrani za usharika huo kwa Rais Magufuli ikiwemo ujenzi wa flyover za Ubungo na namna alivyoitokomeza Corona.

Mchungaji amewashangaa wanaokebehi maendeleo ya vitu na kusema watu hao hawajui walisemalo.

Maendeleo hayana vyama!
Sadaka imepwaya kanisani unatumia salamu. Nenda TBC katume salam.
 
Huyo prof arudi ukafundishe...ubunge atausikia tu kwa bomba!!
 
Mgombea Ubunge wa jimbo la Ubungo Prof Mkumbo leo amesali katika Kanisa la KKKT Kimara na hajatakiwa kuongea chochote kwa sababu yeye ni mgombea wa chama cha siasa.

Hata hivyo mchungaji Matsai amemtaka Prof Mkumbo kufikisha shukrani za usharika huo kwa Rais Magufuli ikiwemo ujenzi wa flyover za Ubungo na namna alivyoitokomeza Corona.

Mchungaji amewashangaa wanaokebehi maendeleo ya vitu na kusema watu hao hawajui walisemalo.

Maendeleo hayana vyama!
Muulize huyo mchungaji,wananchi watakula Flyovers?
 
Back
Top Bottom