Prof Kitila Mkumbo aibukia KKKT Kimara kwa Mchungaji Matsai, mchungaji amshukuru Rais Magufuli kwa flyover za Ubungo

Mgombea Ubunge wa jimbo la Ubungo Prof Mkumbo leo amesali katika Kanisa la KKKT Kimara na hajatakiwa kuongea chochote kwa sababu yeye ni mgombea wa chama cha siasa.

Hata hivyo mchungaji Matsai amemtaka Prof Mkumbo kufikisha shukrani za usharika huo kwa Rais Magufuli ikiwemo ujenzi wa flyover za Ubungo na namna alivyoitokomeza Corona.

Mchungaji amewashangaa wanaokebehi maendeleo ya vitu na kusema watu hao hawajui walisemalo.

Maendeleo hayana vyama!
KKKT Kimara inawakilisha nguvu ya umoja katika kuleta maendeleo, huyo Mwanaume alichofanya kwenye hiyo miundombinu ya kanisani ni Komesha, Kitila amefanya vyema kuungana na wanamageuzi wa kweli
 
Hakuna mtumishi hapo huu utawala na mungu
 
Ila kiukweli ni upotofu kubeza ujenzi wa “vitu” kama flyovers, ununuzi wa ndege na madaraja. Binadamu hatoishi kwa “mkate” tu na vitu vinahitajika. Watu wanabeza huku wakivitumia na kusifia mioyoni mwao
 
Makonda aliwahi enda wekewa mkono pale, ni kama hilo kanisa ni jukwaa la watu fulani, pastor anahofia majengo yako njiani hamna zaidi
 
KKKT Kimara inawakilisha nguvu ya umoja katika kuleta maendeleo, huyo Mwanaume alichofanya kwenye hiyo miundombinu ya kanisani ni Komesha, Kitila amefanya vyema kuungana na wanamageuzi wa kweli
Kitila hajaenda Kanisani kusali alienda pale kujipitisha Sababu anajua lazima atasimamishwa akiamini ataongeza Kura habari za Mchungaji kusifu barabara niyeye kama mwananchi wa kawaida ila ukweli ni kwamba Usharika wa Kimara watu wanajielewa spana kwa jiwe zinamuhusu
 
Prof. Mkumbo ni msaliti. Akiwa Mluteri alikubali kutumiwa na watawala kukosoa waraka wa KKKT wa Pasaka; jambo ambalo halikufanyika kwa waraka wa TEC!
 
Hyu mchungaji hana nyumba iliyobomolewa na nadhani siyo kutoka ktk jamii ya wale watu waliobaguliwa na utawala huu
Mgombea Ubunge wa jimbo la Ubungo Prof Mkumbo leo amesali katika Kanisa la KKKT Kimara na hajatakiwa kuongea chochote kwa sababu yeye ni mgombea wa chama cha siasa.

Hata hivyo mchungaji Matsai amemtaka Prof Mkumbo kufikisha shukrani za usharika huo kwa Rais Magufuli ikiwemo ujenzi wa flyover za Ubungo na namna alivyoitokomeza Corona.

Mchungaji amewashangaa wanaokebehi maendeleo ya vitu na kusema watu hao hawajui walisemalo.

Maendeleo hayana vyama!
 
hajatakiwa kuongea chochote kwa sababu yeye ni mgombea wa chama cha siasa.

Hata hivyo mchungaji Matsai amemtaka Prof Mkumbo kufikisha shukrani za usharika huo kwa Rais Magufuli ikiwemo ujenzi wa flyover za Ubungo

Mchungaji amewashangaa wanaokebehi maendeleo ya vitu na kusema watu hao hawajui walisemalo.

Maendeleo hayana vyama!

Mtawatambua kwa matendo yao
 
Kitila hajaenda Kanisani kusali alienda pale kujipitisha Sababu anajua lazima atasimamishwa akiamini ataongeza Kura habari za Mchungaji kusifu barabara niyeye kama mwananchi wa kawaida ila ukweli ni kwamba Usharika wa Kimara watu wanajielewa spana kwa jiwe zinamuhusu
Siasa ni pamoja na kujipitisha, ndo maana wengine walikuwa k.koo sokoni kununua matango na bigbrother kununua cadet za kampeni, bumper2bumper
 
Prof. Mkumbo ni msaliti. Akiwa Mluteri alikubali kutumiwa na watawala kukosoa waraka wa KKKT wa Pasaka; jambo ambalo halikufanyika kwa waraka wa TEC!
Bora anaekosoa kwa hoja badala ya jazba
 
Back
Top Bottom