johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Sadaka imepwaya kanisani unatumia salamu. Nenda TBC katume salam.Mgombea Ubunge wa jimbo la Ubungo Prof Mkumbo leo amesali katika Kanisa la KKKT Kimara na hajatakiwa kuongea chochote kwa sababu yeye ni mgombea wa chama cha siasa.
Hata hivyo mchungaji Matsai amemtaka Prof Mkumbo kufikisha shukrani za usharika huo kwa Rais Magufuli ikiwemo ujenzi wa flyover za Ubungo na namna alivyoitokomeza Corona.
Mchungaji amewashangaa wanaokebehi maendeleo ya vitu na kusema watu hao hawajui walisemalo.
Maendeleo hayana vyama!
Kwani CCM siyo wakristo?Huyo mchungaji ni kama taahira fulani.
Yaani waumini wamekuja kusali kanisani, wanataka kusikia habari za Yesu Kristo, yeye anabwabwaja habari za CCM, sasa anataka iweje?
Sadaka iko ya kutosha bwashee!Sadaka imepwaya kanisani unatumia salamu. Nenda TBC katume salam.
Hahahaaaa...... Nani wa kumshinda Kitila ubungo?!Huyo prof arudi ukafundishe...ubunge atausikia tu kwa bomba!!
Boniface sijui campaign anafanyia wapi au sijui anaassume keshashinda?Hahahaaaa...... Nani wa kumshinda Kitila ubungo?!
Ila chadema wanamtumia Bagonza na Mwamakula kiroho?Wana CCM wanatumia makanisa kisiasa zaidi
Mwamakula nje ya kanisa ni mwananchi kama wengneIla chadema wanamtumia Bagonza na Mwamakula kiroho?
Mastai nje ya kanisa ni mbuzi?Mwamakula nje ya kanisa ni mwananchi kama wengne
Muulize huyo mchungaji,wananchi watakula Flyovers?Mgombea Ubunge wa jimbo la Ubungo Prof Mkumbo leo amesali katika Kanisa la KKKT Kimara na hajatakiwa kuongea chochote kwa sababu yeye ni mgombea wa chama cha siasa.
Hata hivyo mchungaji Matsai amemtaka Prof Mkumbo kufikisha shukrani za usharika huo kwa Rais Magufuli ikiwemo ujenzi wa flyover za Ubungo na namna alivyoitokomeza Corona.
Mchungaji amewashangaa wanaokebehi maendeleo ya vitu na kusema watu hao hawajui walisemalo.
Maendeleo hayana vyama!
Wana CCM wanatumia makanisa kisiasa zaidi
Boniface anajua ameshashindwa.Boniface sijui campaign anafanyia wapi au sijui anaassume keshashinda?
Muulize Lissu anapata wapi kiburi cha kuizunguka tanzania anavyotaka,,labda anapaa na ungoMuulize huyo mchungaji,wananchi watakula Flyovers?