Prof. Kitila Mkumbo, hili la FCC unavunja Sheria

Lakini inasemekana upande wa mwekezaji ulipiga hatua moja mbele kabla, kitendo cha kumteua CEO wa krabu wakati we ndo una asilimia 49 sio sahihi.

Pia inasemekana kwenye MOU inatakiwa MO aingize ile Billion 2 ndo waendelee mbele kitu ambacho MO hajafanya.

Kwa nilivyo msikiliza Kitila ni kama vile kuna watu wanataka kutumia njia ya shodtcut kufika huko mbele na ndiyo maana Prof anasisitiza hakuna shortcut lazima sheria ifuatwe.
 
Heshimuni wawekezaji.
Kuna Watanzania zaidi ya 200 kwa idadi wameajiriwa Simba Sports na Serikali inapata Kodi.
Kum'beza Muwekezaji yoyote ni fikra za Kimasikini.
MO aheshimiwe na wengine wenye nia ya kuwakeza.
 
Hahahaha
 
MO badala ya kufuata sheria anatafuta sympathy ya Public kutaka kuchukua Simba bure, mbumbumbu hawawezi kuelewa ndiyo maana wanapiga kelele tu hapa
 
Sisi timu tunataka achukue bwanyenye mo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…