The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,582
- 14,167
Moja kwa moja kwenye mada.
Mbunge wa Ubungo Prof. Kitila Mkumbo ameishauri Serikali kuchukua hatua zisizo za Kawaida Kuhusu kupanda bei za mafuta.
Akichangia hotuba ya Waziri Mkuu,Kitila amesema tuko kwenye kipindi kisicho cha kawaida kufuatia ongezeko kubwa la bei kutoka 30% hadi asilimia 700% ndani ya mwaka mmja tu.
Akinukuu maneno ya kingereza,Prof Kitila amesema "The desperate times need desperate measures"
Ameieleza Serikali kwamba ni jambo jema kujulisha wananchi Sababu za kupanda bei lakini hiyo haitoshi na jambo la muhimu ni Serikali inafanya nini kusaidia wananchi kupunguza ukali wa maisha?
Ameiomba serikali kuondoa Kodi kiasi cha sh.300-400 Kati ya sh.792 inazotoza kama Kodi kwenye mafuta Ili kutoa nafuu ya bei.
Ameendelea kusema kwa kuwa kwa sasa serikali inakopesheka,, Waziri wa Fedha na kamati ya Bunge ya Bajeti wachukue hatua hizo za haraka.Amesema kwa kuwa Serikali inakopesheka Waziri mhusika akope pesa Ili kufidia mapato yatakopotea Ili miradi isikwame.
Hadi sasa ni wabunge 3 tuu wametoa ushauri kwa Serikali akiwemo Shabiby,Musukuma na Prof Kitila kwenye ishu ya mafuta.
My take.
Serikali chukua ushauri wa Mkumbo na Musukuma kwa dharura wakati mkifikilia ushauri wa Shabiby in long run.
Pili,kwa Maoni yangu binafsi pesa ya kufidia mapato inaweza patikana hata bila Kukopa kwa kuhakikisha kila bidhaa inayonunuliwa inakatiwa risiti. Takribani 2/3 ya wanunuzi hawaombi risiti,wakiwemo maarufu kwa kulaumu humu JF.
Ili kufanikisha hilo Serikali ifanye yafuatayo👇
1.Serikali kupitia TRA waajiri vijana wapatao 3,000 kwa mikataba Ili kufanya oparesheni mtaani kuhakikisha kila anaenunua bidhaa anapewa risiti.
Hao vijana wa oparesheni/ enforcement wala hawahitaji elimu kubwa ni form 4 tuu na malipo yao hayazidi hata 200,000 kwa mwezi kiasi kwamba haitazidi bil.2 kuwalipa kusimamia hilo zoezi,Tarura wanawalipa chini ya hizo.
2. Wawa husishe askari wote kwenye kukagua bidhaa na mizigo kuona kama ina risiti na kudhibiti magendo.
3. Watoe elimu na matangazo kwa vyombo vyote ikiwemo kwa kutumia magari ya matangazo Ili wananchi wapate elimu na wajue kwamba hatua kali zitachukuliwa ikiwemo faini na kupiga mnada wa mali itakayonunuliwa bila risiti..
Kwenye case ya usafi imeweza kwa nini hili lishindikane?
Serikali ikifanya hivi itapata pesa nyingi kuliko hizo itakazopoteza,lazima task force irudi na ndio isimamie hao vijana wa oparesheni,watakao misbehave hatua kali zichukuliwe dhidi yao.