SYLLOGIST!
JF-Expert Member
- Dec 28, 2007
- 8,189
- 7,853
Makaburu ndivyo walivyo. Sio?Wapuuzi hao!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Makaburu ndivyo walivyo. Sio?Wapuuzi hao!
Unaweza tuu kwani wanasafirisha hivyo vitu hewani? Pili una wa.diploy kwenye maeneo potential huku maeneo mengine unafanya oparesheni kama ambavyo TRA wanafanya kila siku.Yaani huu ndio ushauri wa Profesa,kuajili vijana kibao kama vibarua wa TRA Ili wasumbue watu wasio dai risiti wanaponunua vitu,bidhaa,nchi ina watu 60M!unawezaje kuangslia na kukagua kila kitu mtu anachonunua!?ukinunua mtandaoni je?hao vijana 2000,,unawapereka wapi?Kagera,bunju,kariakoo,Arusha,mwanza,nikiingia hotelini Kigoma,nisipo omba risiti utajuaje?ukiniuliza risiti nasema niliingia kupiga story,na kuchimba dawa tu,,!!!
Mijitu inakuwa kama haijasoma na kutembea nchi zingine?,,nendeni hata SA mkajifunze nchi zinazavyokusanya Kodi kwa mbinu Bora,sio kufatana fatana,kule SA Kuna shopping mall,mall of Afrika,
kubwa mara kumi ya mlimani city!!wanaingia watu kibao,utaweza kuwauliza wote kama wameomba risiti?
SA huwezi kuona askari balabalani wanasimamisha magari,mifumo inafanya kazi,sio huku faini ni chanzo Cha mapato
Jamani Tanzania tumepitia mengi, mnakumbuka enzi za Mpina na kupima urefu wa samaki, enzi zile kuwa msukuma ilikua qualification tosha ya kuteuliwa. Hivi neno Chato mbona limepotea ghafla kwenye midomo ya watu?Kwani serikali Ina visima vya mafuta?! Nyie sukuma gang mbona wakati wa utawala wa dikteta mlikuwa hamshauri lolote zaidi ya kuufyta Kama mbwa koko?! Mafuta yamepanda Bei dunia nzima,hata wakati wa dikteta yalikuwa yanapanda Bei na sometimes kushuka Bei,
Wewe ndio mpuuzi hata huelewi ulichoandika.Professor mwenyewe mpuuuzi tuuuuu, anakwambia vitu vimepanda kwa asilimia 700. Yaaani anamaanisha kitu kimepanda mara 7 au mchele utoke Tshs 1600 kwa kilo mpaka Tshs 11,200 kwa kilo. Yaaani kiberiti cha Tshs 100 kiuzwe Tshs 700. Sidhani kama professor anaishi sehemu ambazo watanzania wanaishi. Nchi haiwezi kutoka kama hata wasomi ktk ngazi ya unprofessor ni mambumbu
Sent from my Nokia 1 Plus using JamiiForums mobile app
Kukurupuka nako ni umbumbumbuProfessor mwenyewe mpuuuzi tuuuuu, anakwambia vitu vimepanda kwa asilimia 700. Yaaani anamaanisha kitu kimepanda mara 7 au mchele utoke Tshs 1600 kwa kilo mpaka Tshs 11,200 kwa kilo. Yaaani kiberiti cha Tshs 100 kiuzwe Tshs 700. Sidhani kama professor anaishi sehemu ambazo watanzania wanaishi. Nchi haiwezi kutoka kama hata wasomi ktk ngazi ya unprofessor ni mambumbu
Sent from my Nokia 1 Plus using JamiiForums mobile app
Misukule ya dikteta hasira zao Sasa wanamalizia kwa January Makamba,Jamani Tanzania tumepitia mengi, mnakumbuka enzi za Mpina na kupima urefu wa samaki, enzi zile kuwa msukuma ilikua qualification tosha ya kuteuliwa. Hivi neno Chato mbona limepotea ghafla kwenye midomo ya watu?
Sukuma gang hawaamini kinachoendelea.
Msumari wa mwisho ni kumrudisha Kinana kileleni.
Mzandiki weweJamani Tanzania tumepitia mengi, mnakumbuka enzi za Mpina na kupima urefu wa samaki, enzi zile kuwa msukuma ilikua qualification tosha ya kuteuliwa. Hivi neno Chato mbona limepotea ghafla kwenye midomo ya watu?
Sukuma gang hawaamini kinachoendelea.
Msumari wa mwisho ni kumrudisha Kinana kileleni.
Chama gani hicho?Misukule ya dikteta hasira zao Sasa wanamalizia kwa January Makamba,
Mama anawapiga sindano za kutosha,na bado Kinana ataanza kuwashughulikia mabaki ya dikteta ndani ya chama
Leo mnajianika. Kumi na nane mnazijua?Mi maduka ya wahindi hata kitu kidogo wanatoa efd resit, wabongo ukiidai utaambiwa mashine mbovu.yaani ujanja janja tu na akikadiliwa kodi hudai kabambikiwa.SISI WEUSI TUNA TABU.
namwona gambo kichwa hakiko sawa sijui anawaza nnMoja kwa moja kwenye mada..
Mbunge wa Ubungo Prof.Kitila Mkumbo ameishauri Serikali kuchukua hatua zisizo za Kawaida Kuhusu kupanda bei za mafuta..
Akichangia hotuba ya Waziri Mkuu,Kitila amesema tuko kwenye kipindi kisicho cha kawaida kufuatia ongezeko kubwa la bei kutoka 30% hadi asilimia 700% ndani ya mwaka mmja tuu..
Akinukuu maneno ya kingereza,Prof Kitila amesema "The desperate times need desperate measures"
Ameieleza Serikali kwamba ni jambo jema kujulisha wananchi Sababu za kupanda bei lakini hiyo haitoshi na jambo la muhimu ni Serikali inafanya nini kusaidia wananchi kupunguza ukali wa maisha?
Ameiomba serikali kuondoa Kodi kiasi cha sh.300-400 Kati ya sh.792 inazotoza kama Kodi kwenye mafuta Ili kutoa nafuu ya bei..
Ameendelea kusema kwa kuwa kwa sasa serikali inakopesheka ,, Waziri wa Fedha na kamati ya Bunge ya Bajeti wachukue hatua hizo za haraka.Amesema kwa kuwa Serikali inakopesheka Waziri mhusika akope pesa Ili kufidia mapato yatakopotea Ili miradi isikwame..
Hadi sasa ni wabunge 3 tuu wametoa ushauri kwa Serikali akiwemo Shabiby,Musukuma na Prof Kitila kwenye ishu ya mafuta..
My take .
Serikali chukua ushauri wa Mkumbo na Musukuma kwa dharura wakati mkifikilia ushauri wa Shabiby in long run..
Pili,kwa Maoni yangu binafsi pesa ya kufidia mapato inaweza patikana hata bila Kukopa kwa kuhakikisha kila bidhaa inayonunuliwa inakatiwa risiti. Takribani 2/3 ya wanunuzi hawaombi risiti,wakiwemo maarufu kwa kulaumu humu JF.
Ili kufanikisha hilo Serikali ifanye yafuatayo[emoji116]
1.Serikali kupitia TRA waajiri vijana wapatao 3,000 kwa mikataba Ili kufanya oparesheni mtaani kuhakikisha kila anaenunua bidhaa anapewa risiti.
Hao vijana wa oparesheni/ enforcement wala hawahitaji elimu kubwa ni form 4 tuu na malipo yao hayazidi hata 200,000 kwa mwezi kiasi kwamba haitazidi bil.2 kuwalipa kusimamia hilo zoezi,Tarura wanawalipa chini ya hizo.
2.Wawa husishe askari wote kwenye kukagua bidhaa na mizigo kuona kama ina risiti na kudhibiti magendo.
3.Watoe elimu na matangazo kwa vyombo vyote ikiwemo kwa kutumia magari ya matangazo Ili wananchi wapate elimu na wajue kwamba hatua kali zitachukuliwa ikiwemo faini na kupiga mnada wa mali itakayonunuliwa bila risiti..
Kwenye case ya usafi imeweza kwa nini hili lishindikane.?
Serikali ikifanya hivi itapata pesa nyingi kuliko hizo itakazopoteza,lazima task force irudi na ndio isimamie hao vijana wa oparesheni,watakao misbehave hatua kali zichukuliwe dhidi yao.
View attachment 2181184
Gambo ndiye nani?namwona gambo kichwa hakiko sawa sijui anawaza nn
Professorial rubbish.
Kuajiri mtu kwa salary ya laki mbili awe mwaminifu kuhakikisha unakusanya mapato ni akili za Prof wa TZ hizo.
Angalia hapo aliposimama kitila mbele yake Kuna mtu kakaa ndo gambo mbunge Arusha mjiniGambo ndiye nani?
Kaburu gang?
Wewe ndio mpumbavu,lini rushwa iliisha? Rushwa inashamiri kivipi kwa kuhakikisha watu wanadai na kutoa risiti?Ushauri wa kipumbavu huu! Unataka rushwa ishamili tena hapa nchini? Unayajua madhara ya task forces hizi wee pimbi?
Huyo nae ni sukuma[emoji1787]? Leo ni leo, mnaanza kuchanganyikiwa sasaKwani serikali Ina visima vya mafuta?! Nyie sukuma gang mbona wakati wa utawala wa dikteta mlikuwa hamshauri lolote zaidi ya kuufyta Kama mbwa koko?! Mafuta yamepanda Bei dunia nzima,hata wakati wa dikteta yalikuwa yanapanda Bei na sometimes kushuka Bei,
Bibie dikteta kashaoezeana, now Rais Samia, au mnahisi atafufuka aje awalaumu hamkupambania legacy yake!Leo mnajianika. Kumi na nane mnazijua?
Mtashindwa na kebehi zenu.
Makaburu gang!