Prof. Kitila Mkumbo: Kuhusu kupanda bei za mafuta "Desperate time needs Desperate Measures"

Vyanzo vingi vya ela ambavyo vilitakiwa vikusanywe ili kupunguza makali ya kodi na tozo bado havikusanywi.

Tra kusanyeni kodi Kwenye biashara mbalimbali mfano maduka madogo na saizi ya Kati , mabasi na madaladala , mahoteli , magesti, malodge , saloon , vioski, baa nk
 
Don't be naive, TRA inasema imekusanya kodi na kuvuka lengo, ww unataka waweke vijana wahuni ili mpore watu na kuwasumbua.
 
Ni wakati sasa tuwe serious, tuanze kuigeuza gesi yetu iwe mafuta yatakayotumika kila sehemu, pia gesi hiyo isambazwe kila nyumba Tanzania... hii itatupa uhakika wa energy bila kutegemea soko la dunia na usambazaji... miaka 60 na zaidi na hadidhi ni ile ile- soko la dunia limeyumba, vita ya Iraq, Libya na sasa ukraine... hizi hadithi hamzichoki ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…