Pre GE2025 Prof. Kitila Mkumbo: Lissu na Mbowe wametusaidia kupata hoja za kuipiga CHADEMA

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
2,060
Reaction score
5,648
Mbunge wa Ubungo na Waziri wa Mipango na Uwekezaji, Prof. Kitila Mkumbo amefichua kuwa mtifuano wa Tundu Lissu na Freeman Mbowe kwenye kinyang’anyiro cha Uchaguzi wa Uenyekiti CHADEMA umewasaidia kupata hoja za kuwapigia
View attachment 3203852
Kabisa! yani kama silaha zao tumeshachukua zote. CCM ushindi mapema tu
 
Iwepo tume huru ya uchaguzi kisha wabebe huo mtifuano wa cdm kwenye hoja zao, ndio watajua ni kwa kiwango gani wananchi wameichoka ccm.
 
Anajifaragua, endapo LISSU atashinda , CCM watakiona Cha moto.

Masuala ya Abdul, Ma DP world , Ngorongoro , Katiba , Utekaji na vifo .

Sijui kwakweli
Na uzuri, Lissu anawamudu sana hawa maprofeseri bosheni bosheni, yaani kuelekea octoba 205, nchi yetu itakuwa moto sana - huko ccm na huku cdm - JF wajiandae tu kwa michango ya wachangiaji humu. Bando lisije kupuungua
 
Hii ni maajabu! Unapigaje kitu kilichokufa?

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
 
Huyu profesa hafai hata kulumangila anapeperushwa na uroho na ufisadi! Nini kilimtoa ACT wazalendo?
 
Hii ni kweli.
Boni kazi anayo.
Kajivua nguo sana
 
Halafu anajiita professor 🙌🏿🙌🏿🏃🏿
 
Katika ulimwengu wa maslahi hata maProfessor uhishiwa hoja, ukimbana vizuri Ethics zote zinakuma dilemma. Hawa ndiyo maprofesa wetu wa fourth world-ulimwengu wa nne.
Ambacho anakiona kwa sasa CDM kama yeye ni profesa angefurahia sana kua watu wanafunguka na tunawajua, na angejiongeza zaidi na kusema kama CCM wangeanza kufunguka na tuwajue wabakaji wa nchi basi kwenye Demokrasia tungekuwa mbali sana. Umewahi kuona comments za Kitilia alivyokua nasi hapa mtandaoni? Alikua anatema madini. Siku hizi kawa chawa, hata reforms hataki.

Conclusion- Elimu haijawahi kumsaidia mwafrika zaidi ya kuimarisha tumbo; unabidi uwe chawa ili ushibe. Full stop.
 
Huyu jamaa hana mvuto kwenye siasa ...labda ateuliwe kiti maalumu....ongea yake tu inaleta kizunguzungu...Prof wa sociology...
 
Ndo siasa, hoja za kuipoga ccm zao zimejaa tele, chama Cha fomu moja😂😂
 
Nimewahi kusema kuwa CHADEMA ni GENGE LA WAHUNI sasa mnajionea wenyewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…