Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Wakuu
Kumbe na wao wamenogewa na show za FAM vs TAL 😂
==
Mbunge wa Ubungo na Waziri wa Mipango na Uwekezaji, Prof. Kitila Mkumbo amefichua kuwa mtifuano wa Tundu Lissu na Freeman Mbowe kwenye kinyang’anyiro cha Uchaguzi wa Uenyekiti CHADEMA umewasaidia kupata hoja za kuwapigia
Soma: Kitila Mkumbo: Nimejipanga vilivyo kugombea Ubunge 2025, msije kudharau nyoka mdogo sumu ni ile ile!