tawakkul
Member
- Oct 12, 2022
- 90
- 71
Picha: Prof. Kitila Mkumbo
Habari Prof!
Njoo hapa tuambie, ulipokuwa Katibu Mkuu Wizara ya maji, bajeti ya wizara yako ilikuwa bil 600. Wadau walipokuuliza kama zitatosha, ulijjibu ndiyo.
Mbona leo shida ya maji bado ni kubwa sana? Ile ilitosha kwenye kitu gani au Ubungo tu?
ANGALIZO:
Watendaji na wasomi wa nchi hii, tumieni taaluma zenu na weledi wenu kusimamia ukweli utawafikisha pazuri kuliko kuwasujudia wanasiasa.
Wewe ni msomi tena wa chuo kikuu cha UDSM una wasiwasi gani kusimamia usomi wako?
Msione watu wanapewa PhD rahisi kama Msukuma you must know that chanzo ni nyinyi kutokuonyesha usomi wenu.