kwahiyo akikusanya trillion 141 cash kwasabb ya kukufurahisha wewe aje aseme wamekusana trillion 120 si ndio? Halafu tena uje kubwekabweka....Kwa hiyo nawe umeishia hapo.
Nadharia na facts vinapaswa kuoana na siyo kukimbiana.
Alichoongea ni upumbavu na wewe unashaubikia kwa sababu unanufaika na huo upumbavu
Hujui unaongea nini mkuu.kwahiyo akikusanya trillion 141 cash kwasabb ya kukufurahisha wewe aje aseme wamekusana trillion 120 si ndio? Halafu tena uje kubwekabweka....
ukweli unatabia ya uchungu au kuumiza Lazima uwe jasiri kuupokea hata kama huutaki
Kabisa huyu Mzee kwa Sasa naweza kumfananisha na Salva kiir mambo yakePato la Wabunge Wanyiramba ndio limeongezeka.
Yuko sahihi, chukua kiasi cha pesa alizozitaja mkaguzi mkuu wa serikali kisha gawa kwa idadi ya watanzania utaona wote tulifaidika ingawa wao walituwekea.Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais - Mipango na Uwekezaji, Prof. Kitila Mkumbo amesema katika ripoti ya Hali ya Uchumi nchini imeonesha Pato la Wananchi (GDP Per Capital Income) limepanda kutoka Dola za Marekani 399.5 (Tsh. 322,397) mwaka 2000 hadi kufikia Dola 1,200 (Tsh. 2,880,000).
Akifafanua zaidi amesema "Tukisema hivyo watu wanauliza mbona hizo fedha mbona mfukoni sina, hesabu zake ni kukusanya mapato ya Nchi nzima ambayo yakafikia Tsh. Trilioni 141 unagawanya kwa idadi ya Watu ndio unapata pato la kila mtu."