GE2025 Prof. Kitila Mkumbo: Tunawajua watakaotupigia Kura kwa utafiti

GE2025 Prof. Kitila Mkumbo: Tunawajua watakaotupigia Kura kwa utafiti

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
2,318
Reaction score
4,079
Akiwa kwenye kipindi cha Dakika 45 ITV, Professor Kitila Mkumbo ambaye pia ni Mwenyekiti kamati ndogo iliyoandaa Ilani ya CCM, ametoa ufafanuzi kulingana na utafiti kuwa Chama kinafahamu wapiga kura wao

"chama chochote chenye akili duniani huwa vinafanya kitu kinaitwa 'Opinion Poll research' sisi kabla hatujaanza tunafanya opinion poll research ndio maana nakupa namba hizi namba, tumefanya wangapi wapo CCM wangapi hawapo CCM , tukatafute wangapi....mwisho unafanya kitu kinaitwa 'Exit Poll' yaani ukienda kupiga kura hata kabla hazijahesabiwa unajua...." Mwenyekiti Kamati ndogo iliyoandaa ilani ya CCM- Prof.Kitila Mkumbo




Chanzo: ITV DIGITAL​
 
Huyu jamaa ni fala sana, anatumia elimu kufanya "cheap politics". Utafiti, utafiti.. ametafiti. Kmmk
 
Back
Top Bottom