Serikali kupitia Dira ya Maendeleo ya Taifa 2050 imepanga kuongeza umri wa wastani wa kuishi kwa Watanzania kutoka miaka 68 ya sasa hadi kufikia miaka 75. Lengo hilo linatokana na mikakati ya kuboresha huduma za afya, lishe, usafi wa mazingira na maisha bora kwa wananchi. Kupitia dira hiyo, Tanzania inalenga kujenga jamii yenye afya njema, uzalishaji mkubwa na ustawi wa watu wote ifikapo mwaka 2050
Mafanikio mengine yaliyopatikana ni kuongezeka kwa wastani wa umri wa kuishi kutoka
miaka 51 mwaka 2000 hadi miaka 68 mwaka 2024
"Tanzania kuishi wastani wa miaka 75 yenye afya na furaha kutoka sasa ambayo tunazungumia 68" amesema Prof. Kitila Mkumbo