Prof Kitila Mkumbo, usihitimishe mchakato wa dira ya maendeleo ya taifa bila kutembelea China ili kujifunza mafanikio katika sekta ya viwanda na elimu

Prof Kitila Mkumbo, usihitimishe mchakato wa dira ya maendeleo ya taifa bila kutembelea China ili kujifunza mafanikio katika sekta ya viwanda na elimu

chiembe

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2015
Posts
16,859
Reaction score
28,112
Kuna nchi ambazo zinatakiwa either tukajifunze kwao au tuwaite wataalamu wao waweke input zao katika dira yetu. Moja ya nchi hizo ni china.

Tuna haha ya kuuchimba mfumo wao wa elimu ili kuchukua yale mazuri na ya muhimu. Tujifunze kwamba pamoja na kuwa na watu wengi, bado wameweza kuhimili.

Tujifunze kuhusu elimu, hasa ya sayansi.

Kwa ujumla, tunahitaji international experts waufanyie auditing na scrutiny.

Kama ni tourism, tutafute nchi zilizoendelea katika sekta hiyo.

Nagoba
 
Back
Top Bottom