Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji Prof. Kitila Mkumbo, amesema safari ya kulifanya taifa lijitegemee kiuchumi imeanza muda mrefu uliopita, huku utegemezi wa misaada kutoka nje ukiendelea kupungua katika kila awamu ya serikali. amesema kwa sasa vikwazo vya misaada haviwezi kufanya kazi.
Prof. Mkumbo ameeleza hayo Agosti 3, 2026 jijini Dar es Salaam, Katika uzinduzi wa nyenzo za utekelezaji wa Dira 2050, pamoja na kushiriki katika Mkutano wa mazungumzo maalumu na Sekta binafsi kuhusu utekelezaji wa Dira 2050.
Soma zaidi:Kwanini CHADEMA wanataka Tanzania inyimwe msaada
"Masharti ya misaada hayana tena athari ya kimkakati katika maamuzi ya serikali, kwani serikali tayari imejumuisha hatari ya kupungua au kusitishwa kwa misaada hiyo katika mfumo wake wa usimamizi wa fedha za umma, kwahiyo itabidi watafute vikwazo vingine, vikwazo vya misaada haviwezi kufanya kazi tena", amesema Prof. Kitila.
Source:JAMBO TV