Kwani kuna nini huko enyi watu wa Dar?Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji Prof. Kitila Mkumbo, amesema safari ya kulifanya taifa lijitegemee kiuchumi imeanza muda mrefu uliopita, huku utegemezi wa misaada kutoka nje ukiendelea kupungua katika kila awamu ya serikali. amesema kwa sasa vikwazo vya misaada haviwezi kufanya kazi.
Prof. Mkumbo ameeleza hayo Agosti 3, 2026 jijini Dar es Salaam, Katika uzinduzi wa nyenzo za utekelezaji wa Dira 2050, pamoja na kushiriki katika Mkutano wa mazungumzo maalumu na Sekta binafsi kuhusu utekelezaji wa Dira 2050.
Soma zaidi:Kwanini CHADEMA wanataka Tanzania inyimwe msaada
"Masharti ya misaada hayana tena athari ya kimkakati katika maamuzi ya serikali, kwani serikali tayari imejumuisha hatari ya kupungua au kusitishwa kwa misaada hiyo katika mfumo wake wa usimamizi wa fedha za umma, kwahiyo itabidi watafute vikwazo vingine, vikwazo vya misaada haviwezi kufanya kazi tena", amesema Prof. Kitila.
Source:JAMBO TV
Waambie CDM wanaodhani vikwazo ni Samia na genge lakeraia namba 1 anasema tukaze buti maana misaada inaondoka
prof. tumbo anasema tulisha anza kujiandaa ko hakuna athari
athari haiwez kumkuta yeye itaanza na sisi huku hadi yeye aje kuiona sidi tuko hoi sana huku
Ukisikiliza hii,utaelewa tunaelekea wapiWaziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji Prof. Kitila Mkumbo, amesema safari ya kulifanya taifa lijitegemee kiuchumi imeanza muda mrefu uliopita, huku utegemezi wa misaada kutoka nje ukiendelea kupungua katika kila awamu ya serikali. amesema kwa sasa vikwazo vya misaada haviwezi kufanya kazi.
Prof. Mkumbo ameeleza hayo Agosti 3, 2026 jijini Dar es Salaam, Katika uzinduzi wa nyenzo za utekelezaji wa Dira 2050, pamoja na kushiriki katika Mkutano wa mazungumzo maalumu na Sekta binafsi kuhusu utekelezaji wa Dira 2050.
Soma zaidi:Kwanini CHADEMA wanataka Tanzania inyimwe msaada
"Masharti ya misaada hayana tena athari ya kimkakati katika maamuzi ya serikali, kwani serikali tayari imejumuisha hatari ya kupungua au kusitishwa kwa misaada hiyo katika mfumo wake wa usimamizi wa fedha za umma, kwahiyo itabidi watafute vikwazo vingine, vikwazo vya misaada haviwezi kufanya kazi tena", amesema Prof. Kitila.
Source:JAMBO TV
Vikwazo ni Kwa mafisadi kupigwa pin accounts zao kule nje na machawa yao kuweweseka.Waambie CDM wanaodhani vikwazo ni Samia na genge lake
Waambie CDM wanaodhani vikwazo ni Samia na genge lake
sawaWaambie CDM wanaodhani vikwazo ni Samia na genge lake
hakikaManeno ni mengi kuliko vitendo!
Mkumbusheni mama yake tayari katema ndoano..anahimiza tukaze butiWaziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji Prof. Kitila Mkumbo, amesema safari ya kulifanya taifa lijitegemee kiuchumi imeanza muda mrefu uliopita, huku utegemezi wa misaada kutoka nje ukiendelea kupungua katika kila awamu ya serikali. amesema kwa sasa vikwazo vya misaada haviwezi kufanya kazi.
Prof. Mkumbo ameeleza hayo Agosti 3, 2026 jijini Dar es Salaam, Katika uzinduzi wa nyenzo za utekelezaji wa Dira 2050, pamoja na kushiriki katika Mkutano wa mazungumzo maalumu na Sekta binafsi kuhusu utekelezaji wa Dira 2050.
Soma zaidi:Kwanini CHADEMA wanataka Tanzania inyimwe msaada
"Masharti ya misaada hayana tena athari ya kimkakati katika maamuzi ya serikali, kwani serikali tayari imejumuisha hatari ya kupungua au kusitishwa kwa misaada hiyo katika mfumo wake wa usimamizi wa fedha za umma, kwahiyo itabidi watafute vikwazo vingine, vikwazo vya misaada haviwezi kufanya kazi tena", amesema Prof. Kitila.
Source:JAMBO TV
Kufanya kazi gani, kwanini mnawekewa vikwazo?
Sawa, vikwazo havitowahusu CHADEMA.Vikwazo ni Kwa mafisadi kupigwa pin accounts zao kule nje na machawa yao kuweweseka.
Kabla Samia na genge lake hawajaumia, mimi na wewe tutakuwa choke mbaya..kuna vikwazo kwa Ssh na genge lake na ndivyo Watanzania tunavyovitaka.