Prof. Kitila Mkumbo: Vikwazo vya misaada haviwezi kufanya kazi

Ni akili ndogo sana hii.
 
Ila hali ya barabara zetu waiangalie sana wakuu.
 
Safi
 
Hivi ni vibwengo gani walioiomba Marekani iondoe vikwazo juzi hapa?

Upumbavu ni vazi la serikali haramu
 
Kwa ufupi, anamaanisha kwamba Tanzania inaweza hata kutotimiza masharti yoyote yaliyotolewa/yanayotolewa na "waliokuwa" wahisani au washirika wa maendeleo wa nchi.Nchi inajiweza vizuri tu,sivyo?
 
Ana sifu na kuabudu kwa pambio za hadithi za sungura za sizitaki mbichi hizi. Historia itamkumbuka kama profesa aliyeishauri serikali ienende kwa kukumbatia sera za Chifu Mangungo wa Msovero.
 
Tengenezeni mazingira ili kuondoa vikwazo vilivyopo kuwa wabishi katika vitu ambavyo mnaweza kubadilika na Taifa likawa sawa ni kuwaangamiza Watanzania bila sababu yeyote hakuna Nchi ikawekewa vikwazo ikawa salama kama mnaendelea kubisha nendeni mkajifunze Zimbabwe ya sasa na muulize miaka ya 97 kabla ya vikwazo walikuaje...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…