Prof Kitila: Nimewaomba TANROADS wawape muda zaidi wakazi wa Kimara kabla ya kuwabomolea nyumba zao!

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
104,319
Reaction score
183,639
Mbunge wa Ubungo Prof Kitila Mkumbo amesema wakazi wa Kimara wasiwe na hofu kwani hatua zote za kisheria zitafuatwa kabla hawajahamishwa kupisha ujenzi wa barabara.

Mkumbo amesema kwa kuanzia amewaomba Tanroads kuwaongezea muda wakazi hao ili kupisha majadiliano ya msingi yafanyike.

Prof Kitila amesema anashirikiana kwa karibu sana na DC Herry James kuhakikisha wananchi wake wanapata haki yao ya kikatiba.

Source: ITV

Nawasalimu kwa jina la JMT!
 
Kwani Tanroad hafuati sheria?

Wakazi walijenga bila vibali?

Mbona kama kuna ubaguzi wa matumizi ya sheria
 
Kitila anamaanisha nini au nae ana nyumba yake Kimara anataka kujipanga? inamaana hao Tanroads walikurupuka kutaka kuwavunjia hao wakazi nyumba zao kabla hawajatoa taarifa ya maandishi kwa wahusika? huu ni usanii anaofanya.
 
Yule Kiboga mwingine kumbe yuko ubungo kama DC fuuu baaasi sawa
 
Kuna watu hawana ubinadamu wako TANROADS, ni watu 'rigid' na 'impervious' wenye roho za kishetani za awamu ya tano. Wanapaswa kustaafishwa kwa manufaa ya umma
 
Maengeneer wote au baadhi??
 
Mbunge wa Ubungo Prof Kitila Mkumbo amesema wakazi wa Kimara wasiwe na hofu kwani hatua zote za kisheria zitafuatwa kabla hawajahamishwa kupisha ujenzi wa barabara.

Mkumbo amesema kwa kuanzia amewaomba Tanroads kuwaongezea muda wakazi hao ili kupisha majadiliano ya msingi yafanyike.

Prof Kitila amesema anashirikiana kwa karibu sana na DC Herry James kuhakikisha wananchi wake wanapata haki yao ya kikatiba.

Source: ITV

Nawasalimu kwa jina la JMT!
Duh mbona naona kama ni postponing the inevitable ?
  • Kabla hawajahamishwa
  • Sheria zote zinafuata
  • Kuongezea muda
Naona hapa ni kama kawaida ya mwanasiasa kuongea mengi lakini hakuna kinachoongelewa....
 
Kitila Mkumbo ni mnafiki kama wengine, hawezi kuzuia maamuzi ya TANROADS!
 
Kwani Tanroad hafuati sheria?

Wakazi walijenga bila vibali?

Mbona kama kuna ubaguzi wa matumizi ya sheria
Wanasiasa hawana tofauti sana na MATAPELI, anawa enjoy na kuwarubuni kama anapambania MASLAHI yao
 
Kitila Mkumbo ni mnafiki kama wengine, hawezi kuzuia maamuzi ya TANROADS!
Wanasiasa hawana tofauti sana na MATAPELI, anawa enjoy na kuwarubuni kama anapambania MASLAHI yao
Halafu nyumba zao zikianza kubomolewa atajifanya kama haoni kumbe ni yeye aliyedanganya wachelewe kuzibomoa kwa utaratibu!
 
Alisema za mwanza wasibomoe ndio wapigakura wake.
Kimara mbunge alikuwa wa upinzani wakabomoa
Sheria za mwanza/Dar tofauti
Kitila anatumia sheria ipi
 
Kitila Mkumbo ni mnafiki kama wengine, hawezi kuzuia maamuzi ya TANROADS!

Halafu nyumba zao zikianza kubomolewa atajifanya kama haoni kumbe ni yeye aliyedanganya wachelewe kuzibomoa kwa utaratibu!
Kabisa mkuu.

Katika maisha yangu ku base kwa wanasiasa nimeweka 15% tu,nashangaa mtu anaweka mawazo yake yote kwa wanasiasa.

Mwanasiasa akikuambia giza limeingia inabidi na wewe ukachungulie nje kupata uhakika. Pia ufanya ajenda (jambo) yao kuwa ya wananchi au kitaifa.
 
Back
Top Bottom