Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Una 16% ya Barrick wewe?Lugha za kuongea na wawekezaji tunazijua. Ndiyo maana tumefanikiwa kujadiliana na Barrick na tukapata 16%. Kwa msingi huo hoja ya kumulazimisha Waziri kwenda Rwanda bado 'haishikilii maji'!
Badiko lina miiba kweli hili.Inauma unapoona ati twende Rwanda kujifunza ICT wakati akina Kitalima wa UCC - university of Dar es Salaam Computing Centre miaka 21 iliyopita ndiyo walioianzisha hiyo ICT huko Rwanda. Akina Prof Rwakabamba etc:
siye utasikia tunasifia akina Tundu Lissu, Shangazi, Kigogo2014, Maria Sarungi etc ambao walikuwa ni wakatishaji tamaa wa Kagame wa Tanzania ambaye ameondoka na sasa kila mtu anaona pengo lake ingawa ni siku 110 tu. Tunasifia watu kama JK anayechukua bombardier ili akazike Kaunda na Abiria wanashinda airport kuisubiri.
Mwache tu kitila mkumbo
Kama serikali inabambika watu kuitwa gaidi na kuwaweka rumande muwekezaji gani atatamani kuwekeza nchi yenye ugaidi!??Rwanda, kama Rwanda, hawana technologia ya kutengeneza magari, achilia mbali piki piki. Walichofanya ni kuweka mazingira mazuri ya uwekezaji, ndipo wenye technologia na mitaji yao wakaenda kuwekeza pale.
Serikali yetu inapaswa kujifunza jinsi ya kuboresha mazingira ya uwekezaji ili kuvutia technologia za kisasa na mitaji.
Nina ushahidi. Tena ushahidi unatoka kwa Barrick Mwenyewe. Sipo JF kupotosha mimi. Nipo JF kujifunza na kusema ukweli.Una 16% ya Barrick wewe?
Muulize mchumi wa daraja la kwanza pale Hazina akuambie ulichonacho Barrick.
Ni heri ya Simba na Mo!
Uyo Kagame wa Tanzania ndie aliyeongoza kuuwa mazingira ya uwekezaji Tanzania hakuna kipindi katika historia ya nchi hii ambacho mitaji ya kibiashara ilihama ama kufa kama kipindi cha 2015-2020. Unakumbuka kauli ya Aliko Dangote kuhusu sera za uwekezaji za Tanzania?Inauma unapoona ati twende Rwanda kujifunza ICT wakati akina Kitalima wa UCC - university of Dar es Salaam Computing Centre miaka 21 iliyopita ndiyo walioianzisha hiyo ICT huko Rwanda. Akina Prof Rwakabamba etc:
siye utasikia tunasifia akina Tundu Lissu, Shangazi, Kigogo2014, Maria Sarungi etc ambao walikuwa ni wakatishaji tamaa wa Kagame wa Tanzania ambaye ameondoka na sasa kila mtu anaona pengo lake ingawa ni siku 110 tu. Tunasifia watu kama JK anayechukua bombardier ili akazike Kaunda na Abiria wanashinda airport kuisubiri.
Mwache tu kitila mkumbo
🤝Tena kwa umoja wao ni afadhali musukuma
Zanzibar Kuna madini gani? Ninauliza tuUyo Kagame wa Tanzania ndie aliyeongoza kuuwa mazingira ya uwekezaji Tanzania hakuna kipindi katika historia ya nchi hii ambacho mitaji ya kibiashara ilihama ama kufa kama kipindi cha 2015-2020.
Unapoandika uwe na fact Rwanda inavutia wawekezaji kwa kupunguza kodi na kuweka mazingira rafiki kwa wawekezaji ikiwemo na uhakika wa ulinzi wa teknolojia, Rwanda imewekeza kwenye elimu nyie mnawekeza kwenye ujinga na uongo mnataka mfanane na Rwanda.
Kama Rwanda wangepata mgodi mmoja tu wa Tanzania wangekuwa na GDP kubwa kuliko Tanzania.
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Unataka kusema Zanzibar wanaizidi Rwanda kwa maendeleo?Zanzibar Kuna madini gani? Ninauliza tu
Kampuni ya kijerumani inayounganisha magari Rwanda ilitaka kuwekeza hapa bongo lakini mazingira ya biashara hayakuwaridhisha. Kitila na team yake waanzie hapo.Rwanda, kama Rwanda, hawana technologia ya kutengeneza magari, achilia mbali piki piki. Walichofanya ni kuweka mazingira mazuri ya uwekezaji, ndipo wenye technologia na mitaji yao wakaenda kuwekeza pale.
Serikali yetu inapaswa kujifunza jinsi ya kuboresha mazingira ya uwekezaji ili kuvutia technologia za kisasa na mitaji.
sera zetu za kishamba.. hata aende akakae miaka mia moja.. kama hatujabadilisha sera zetu pilocy na hasa hasa katiba.. fikiria muwekezaji akutane na jitu kama sabaya.. unadhani hawahadithiani?Ni ushauri tu kwa Waziri wa Viwanda na Biashara Profesa Kitila Mkumbo kwamba afanye ziara hapo Rwanda yeye na wasaidizi wake watajifunza mambo mengi ya uchumi halisi na siyo wa kwenye karatasi.
Mungu ni mwema wakati wote!
Mbona benbros simba trailers, quality motors, dar coach, BM motors, scania tanzania, wanaunda magari miaka mingi,Kuna tofauti kubwa kati ya kutengeneza na kuungania vifaa ili upate gari. Rwanda wanaunganisha! Sidhani kama Engine block inakuwa 'moulded' hapo Kigali!
Hata hivyo, hii haihitaji waziri kwenda Rwanda bali kwenda kwa watengenezaji wa magari moja kwa moja kuongea nao namna ya kuwekeza hapa nchini. Kumshauri kwenda Kigali ni upotevu wa muda adhimu na hela.
Kama kweli unataka Waziri aende Rwanda basi tuwekee hapa Checklist ya vitu atakavyokwenda kufanya huko Kigali.
Mbona tuna scania tanzanite, hizi howo si juzi waziri mkuu kazindua kiwanda Chao pale changombeKampuni ya kijerumani inayounganisha magari Rwanda ilitaka kuwekeza hapa bongo lakini mazingira ya biashara hayakuwaridhisha. Kitila na team yake waanzie hapo.
Hatuna cha kujifunza Rwanda, labda namna ya kubaki madarakani, kitu pekoe tunachoweza jifunza kwao ni maturities ya snipersNi ushauri tu kwa Waziri wa Viwanda na Biashara Profesa Kitila Mkumbo kwamba afanye ziara hapo Rwanda yeye na wasaidizi wake watajifunza mambo mengi ya uchumi halisi na siyo wa kwenye karatasi.
Mungu ni mwema wakati wote!
Sasa ni Miaka 60 toka Tanzania imepata Uhuru Mamia kwa mamia ya Viongozi Wametembelea ULAYA kwenye VIWANDA vikubwa vya MAGARI NDEGE TRENI NA MELIhawajatuletea CHOCHOTE itakuwa KITILA MKUMBO kwenda RWANDANi ushauri tu kwa Waziri wa Viwanda na Biashara Profesa Kitila Mkumbo kwamba afanye ziara hapo Rwanda yeye na wasaidizi wake watajifunza mambo mengi ya uchumi halisi na siyo wa kwenye karatasi.
Mungu ni mwema wakati wote!
Hahahaaaa........!Sasa ni Miaka 60 toka Tanzania imepata Uhuru Mamia kwa mamia ya Viongozi Wametembelea ULAYA kwenye VIWANDA vikubwa vya MAGARI NDEGE TRENI NA MELIhawajatuletea CHOCHOTE itakuwa KITILA MKUMBO kwenda RWANDA
Wewe ni kinda hujui lolote, nakubaliana na wewe maana umri wako ni wa kujazwa pumba na si uhalisia.Uyo Kagame wa Tanzania ndie aliyeongoza kuuwa mazingira ya uwekezaji Tanzania hakuna kipindi katika historia ya nchi hii ambacho mitaji ya kibiashara ilihama ama kufa kama kipindi cha 2015-2020. Unakumbuka kauli ya Aliko Dangote kuhusu sera za uwekezaji za Tanzania?
Unapoandika uwe na fact Rwanda inavutia wawekezaji kwa kupunguza kodi na kuweka mazingira rafiki kwa wawekezaji ikiwemo na uhakika wa ulinzi wa teknolojia, Rwanda imewekeza kwenye elimu nyie mnawekeza kwenye ujinga na uongo mnataka mfanane na Rwanda.
Kama Rwanda wangepata mgodi mmoja tu wa Tanzania wangekuwa na GDP kubwa kuliko Tanzania.
Mnataka wawekezaji waje kuwekeza huku mnawaaminisha watu kuwa Tanzania kuna magaidi ambao wanaongoza vyama vya siasa ni nani mwenye akili timamu ataweka mtaji kwenye nchi yenye magaidi?
Ni ushauri tu kwa Waziri wa Viwanda na Biashara Profesa Kitila Mkumbo kwamba afanye ziara hapo Rwanda yeye na wasaidizi wake watajifunza mambo mengi ya uchumi halisi na siyo wa kwenye karatasi.
Mungu ni mwema wakati wote!
Ni ushauri tu kwa Waziri wa Viwanda na Biashara Profesa Kitila Mkumbo kwamba afanye ziara hapo Rwanda yeye na wasaidizi wake watajifunza mambo mengi ya uchumi halisi na siyo wa kwenye karatasi.
Mungu ni mwema wakati wote!