Prof Kitila: Tuna Mashirika 304 lakini yaliyotoa Gawio ni 145. Jumla ya Gawio ni tsh 637 billion ambapo tsh8.8 bil ni Dividend na 358 bil ni Michango!

Prof Kitila: Tuna Mashirika 304 lakini yaliyotoa Gawio ni 145. Jumla ya Gawio ni tsh 637 billion ambapo tsh8.8 bil ni Dividend na 358 bil ni Michango!

Msaada kwenye tuta.
Ni ipi tofauti ya michango na gawio? Kama ameshindwa kutoa gawio, hiyo michango anatoa wapi?

Pia, mashirika yasiyoweza kuzalisha na kutegemea hela zetu, kwanini tunaendelea kuwa nayo?

Kama nchi, mnaridhika na TPA kutoa 153b kama gawio?
Gawio linatoka kwenye Faida na hulipwa kulingana na umiliki wa Hisa ulivyo
 
Tumekosa Mchumi Bungeni kuwa Waziri wa Mipango tunampa Profesa Mwalimu wa Ualimu. Angalia mawaziri wa Mipango wakati wa Mkapa kina Kigoda na yule mzee mwenye mvi nyingi wa Kilosa.
Amekuwa wazir wa uchumi kwa ajili ya uchawa promax. Kama uchumi aliuogopa akiwa secondary, which means hata calculations za economic hajui.Je atatuambia nn? Anajitetea kuwa, akifika ofisin kila kitu kinafanywa na walio chini yake.Yeye anafanya nn?? Prof wa, masturbation.
 
Hivi kuna mtu anamuelewa huyu mwandishi. Mimi naona ugoro mtupu sielewi kama kuna cha kueleweka au cha kujivunia. Yaani ubabaishaji tu. Kwanza navyoelewa hata asilimia 50 ya mashirika hayajaweza kutoa gawio kwa serikali kutokana na kupata faida. Na kama fedha inayotokana na gawio ni 8.8 bilioni tu Hizo bilioni 637 zinatoka wapi? Itakua vigogo wamekuja toa serikalini mtaji wao kama gawio mradi wasitimuliwe kazi huku wenyewe pengine wakiwa na akili watafidia kivipi au ndio kuangusha kabisa mashirika. Kama kuna ameelewa tofauti hebu atujuze.
 
Hayo ambayo hayakutoa GAWIO kipindi hiki shida ni nini?..na kuna mikakati gani ya MAKUSUDI, ili mwakani yatoe?
 
Back
Top Bottom