Prof. Kitila: Tunajisahau sana tunaopewa mamlaka ya Kiserikali tunadhani ni bosi wa kila mtu

Prof. Kitila: Tunajisahau sana tunaopewa mamlaka ya Kiserikali tunadhani ni bosi wa kila mtu

Mwanamwana

Platinum Member
Joined
Aug 1, 2011
Posts
9,604
Reaction score
22,722


Waziri wa Mipango na Uwekezaji, Profesa Kitila Mkumbo, leo Machi 11, 2026 alipokuwa akizungumza na Wakuu wa Mikoa nchini katika mkutano wa Uhakiki wa Rasimu ya Mpango wa pili wa kuboresha mazingira ya Biashara na Uwekezaji (MKUMBI II), amesema viongozi wanaopewa mamlaka ya Kiserikali huwa wanajisahau sana na kudhani ni bosi wa kila mtu hivyo kutoa maelekezo kwa kila mtu
 
Back
Top Bottom