Prof Kitila: Utafiti unaonesha Watanzania wengi wanaikubali Serikali yao

Huo utafiti waliufanyia wapi na lini? Nadhani ile project ya kuwapiga radi iendelee maana hawa jamaa naona wanataka kutupanda kichwani wakiwa wamevaa "high hills"
 
Mtoto CHAULA anapotezwa na CCM halafu uwe na mahaba na wahuniiiiii
 
ukweli mtupu
 

Ni Tanganyika pekee msomi tena PhD holder anasimama kusifia uongo ili tu aonekane ni mtiifu🤮
 
Huo utafiti umepublishiwa wapi?
Au ndo bado tunalazimisha nyekundu kuwa kijani?
 
 

Attachments

  • IMG-20250611-WA0007.jpg
    93 KB · Views: 16
Tafiti zinazowafurahisha kama hizi ndiyo zinazoruhusiwa kwa sasa.

Mwananchi Communications waliomba radhi baada ya matokeo ya poll yao kuonesha mtu "kagaragazwa" na Mwendazake.
 
Ametumia elimu yake vuzuri, mjanja kweli!
Maana wote tunajua kiswali japo si sana; hata wawili ni wengi😀
 
Na kubali kabisa, sura na hisia zake ziko hoi bin taabaan... Vivyo hivyo na watendaji wake!

Mi nawashauri wajiandae kuhamia Burundi... Maana Hali ilivo mhh😁😁
Mkuu niliongea na mwandamizi mmoja akasema mwenyewe hali ni ngumu.
 
Na kubali kabisa, sura na hisia zake ziko hoi bin taabaan... Vivyo hivyo na watendaji wake!

Mi nawashauri wajiandae kuhamia Burundi... Maana Hali ilivo mhh😁😁
Ndio hao watendaji wake kikubwa wafanyacho sasa hv ni kujilimbikiza ukwasi.
For their future being
 
Sasa unakua na Maprofesa wa Kaliba hii utegemee mtakuja kufanya inovations tusahau kabisa ni sawa na kusubiri meli Magufuli Terminal wanadhani wanamsaidia kazi kumbe ndio wanamuharibia

No reform No Election
Kabisa mkuu
 
Tunaogopa kuuwawa na kutekwa kwahiyo tunajibu ndiyo ili uondoke.

Kifupi tunawaogopa sana
 
Huo ni utafiti aliyofanya na mke wake! Sisi tumekataa au nyie mnasemaje!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…