Prof Kitila: Utafiti unaonesha Watanzania wengi wanaikubali Serikali yao

Prof Mukandara na ile NGO yake REDET wameishia wapi? Mbona hawajatoa utabiri mara hii?
 
Maza anapenda sana hii kitu (Kusifiwa) na wanaomzunguka kama hawa wanalifahamu hilo,kwa hiyo wanacheza na akili yake😊😊😊
 
Hakuna Professor hapo, Prof gani anaongea ujinga huo?
 
Uongo 😭😭😭
 
Huo utafiti waliufanyia wapi na lini? Nadhani ile project ya kuwapiga radi iendelee maana hawa jamaa naona wanataka kutupanda kichwani wakiwa wamevaa "high hills"
Mimi nilikuwa mtu wa kwanza kugundua kuwa Watz wanaipenda sana serikali yao na wapo tayari kufanya jambo lolote lile kuhakikisha inabaki madarakani.
 
Hili boko kalitoa Leo🤣View attachment 3365769
Huyu jamaa ni mjinga sana, Hakuna professor hapa! Simple logic kwahiyo Tanzania IPO mwezini na sio sehemu ya uchumi wa Dunia? Wakati ni least developing country?
Na wanapiga makofi maponjoro na standard seven wa Zanzibar wanaotumia Bunge kutukana na kuhamasisha polisi kuvunja Sheria na Haki za binadamu na kufira wageni.
 
NO REFORMS NO ELECTION
 
We mzee, labda utafiti wa nyumbani kwako.
 
Huu utafito ni sahihi 100%. Watu wanaikubali sana serikali ya awamu ya 6 chini ya jemedari Mama Samia. Tafiti hupingwa kwa tafiti.
 
Utafiti kaufanyia Lumumba kwa machawa
 
naam kitila mzee wa tafiti.
 
Mbona huo utafiti haujanifikia
 
Hivi wanaweza kuruhusu watafiti wengine waingie field? Ama Sheria ya takwimu itachukua mkondo wake?
 

NO REFORMS, NO ELECTION!
 
Hii ina maana kama serikali ingekubali reforms zinazodaiwa basi ingependwa zaidi kuliko sasa.Lakini kwa sasa ni vigumu kuamini utafiti huo kwani mototo anayependwa hufika wakati kuchukiwa kwa sababu za msingi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…