Prof. Kitila: Wakati tukizidisha mapambano dhidi ya rushwa, tuondoe mtazamo kwamba kila mwenye hela ni mwizi

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
2,318
Reaction score
4,079
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji, Prof. Kitila Mkumbo akizungumza leo Juni 23, 2026 Bungeni Dodoma, amesema wakati mapambano dhidi ya rushwa yakiendelea ni vyema watu kuachana na mtazamo wa kuwa kila mwenye hela ni mwizi kwani wapo wanaotafuta hela kwa bidii.

"Wakati tukizidisha mapambano dhidi ya rushwa, tuondoe mitazamo kwamba kila mtu mwenye hela ni mwizi. Kuna watu wamepata hela kwa bidii kwa kufanya biashara na kutengeneza faida.

Kwahiyo tupambane na rushwa lakini isikuwe kana kwamba basi mtu akipata... kila mtu mwenye hela, hususan akiwa mweusi, ameiba, hapana."

Huo nao kama sii uongo ni kutuliza upepo mchsfu upite,juhudi za mapambano ziko wapi?Ama wengine vipofu?
 
Back
Top Bottom