peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 18,223
- 31,465
Mulamula yule muhaya amechinjwa mapema round ya kwanza.CCM Ina wenyewe kwa kweli.
Mtu mmoja,kateuliwa:
1. Kugombea ubunge Jimbo La Moshi Mjini
2. Kateuliwa kugombeav ubunge viti amaalum Mkoa wa Kilimanjaro
3. Kateuliwa soma hapo kwenye picha yake.
Vituko sasa,uliza mume wake anaitwa nani au anakaa wapi utadondoka.
Uliza ana umri Gani na watoto wako wapi,utakimbia ukafe!
Uliza Uprofess,aliupataje, utakwenda kujinyonga
tuwekee majibu tusihangaike maana si rahisi kujua history ya mtuVituko sasa,uliza mume wake anaitwa nani au anakaa wapi utadondoka.
Uliza ana umri Gani na watoto wako wapi,utakimbia ukafe!
Uliza Uprofess,aliupataje, utakwenda kujinyonga
Angalieni sasa! Huyu ni Prof WA CCM
Priscus TarimoNdio anagombea na Salim Kikeke?
ππππππππAngalieni sasa! Huyu ni Prof WA CCM
π―Ubunge wa chupi
Ubunge wa chupi
CCM Ina wenyewe kwa kweli.
Mtu mmoja,kateuliwa:
1. Kugombea ubunge Jimbo La Moshi Mjini
2. Kateuliwa kugombea ubunge viti maalum Mkoa wa Kilimanjaro
3. Kateuliwa soma hapo kwenye picha yake.
Vituko sasa,uliza mume wake anaitwa nani au anakaa wapi utadondoka.
Uliza ana umri Gani na watoto wako wapi,utakimbia ukafe!
Uliza Uprofess,aliupataje, utakwenda kujinyonga
AsanteeeUbunge wa chupi