GE2025 Prof. Kumburu ateuliwa kugombea ubunge Viti Maalumu Wasomi Vyuo Vikuu na jimbo Moshi Mjini

GE2025 Prof. Kumburu ateuliwa kugombea ubunge Viti Maalumu Wasomi Vyuo Vikuu na jimbo Moshi Mjini

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Huyo Asanterabi ni mtoto au mdogo wake na Lowasa?
 
CCM Ina wenyewe kwa kweli.
Mtu mmoja, kateuliwa:
1. Kugombea ubunge Jimbo La Moshi Mjini
2. Kateuliwa kugombea ubunge viti maalum Mkoa wa Kilimanjaro
3. Kateuliwa soma hapo kwenye picha yake.

Vituko sasa,uliza mume wake anaitwa nani au anakaa wapi utadondoka.

Uliza ana umri Gani na watoto wako wapi, utakimbia ukafe!
Uliza Uprofess, aliupataje, utakwenda kujinyonga

Kwa hiyo huyu naye ni Profesa?
Kwa kipaji changu cha wanyama, Nikiangalia usoni, sioni ishara za mtu kuitwa profesa hapa. NI kama choimbo fulani chenye matumizi tu!
 
Huyo Asanterabi ni mtoto au mdogo wake na Lowasa?
Na mm naongezea swali hapa je ndiye mmiliki wa bus za AsanteRabi ??Kuna Ile chuma scania AVA weka mbali na michina
Anae fahamu atiririke basi wadau..
 
Vya kula vya masela(wahuni) wa Dola ,bungeni na ndani ya ofisi ya rais
 
Aliolewa,akaachika, ana 50+ age, hana mtoto, aliuza chup.. akawa msomi.
Leo anataka ubunge, Kwa Hali yeyote,ila apate cheo na mtu wa kuml.. huko majuu.
Kamati kuu ya ccm, mnakidhalilisha chama
Acha unafki na roho mbaya,
Ongea kwa fact sio mihemuko na kuchafua watu
1. Hajawahi kuolewa
2. Hana miaka 50 amezaliwa 1977
3. Ana mtoto mmoja na mwingine alifariki alivyozaliwa- check KCMC for records
4. Hajawahi kuuza chupi, amesoma mzumbe morogoro clean student- check your record before uandike uninga
5. Hana mtu yyte huko juu just for your information
Ndio amechaguliwa sehemu mbili alizoomba 1. Ubunge vyuo vikuu jana uchaguzi kawa wa 5 out of 10( she was the only Professor) angekuwa na mtu juu angepita uliza waliopita wana video??
2. Ubunge moshi mjini kura kesho- but her dream is and was vyuo vikuu maana huko ndio mbobezi.

Ukihitaji kumfahamu zaidi am here kuliko kueneza uongo na ulozi
Kesho kuna hukumu kwa Mungu

Furahia wenzio wakiwa na mafanikio, Professor at her age wewe uko chini ya uvungu kuendeza fitna na chuki
Shame
 
Back
Top Bottom