Kitoabu
JF-Expert Member
- Jul 7, 2011
- 10,677
- 11,768
Hata CDM inaelekea huko huko.Cuf haina tena mvuto hamna tofauti na Lyatonga
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata CDM inaelekea huko huko.Cuf haina tena mvuto hamna tofauti na Lyatonga
Pamoja na kurugenzi you yake ya habariIla profesa hana mshipa wa aibu
😂😂😂😂 Hadi watia aibu Sana na kushangaza kila mtu anasema et atakuwa raisiWako wengi tuu wanajitoa ufahamu eti kila mmoja anajitapa atashinda na kuwa rais. Hawana akili pumbafff zao wote wanaojua wanasindikiza halafu wamekata mshipa wa aibu kuropoka bila aibu eti watakuwa Marais hapo October.
Njaa jamani haina baunsa. Nzala mbhi.Ila profesa hana mshipa wa aibu
Shekhe Yahaya Husein alisha farikiHata CDM inaelekea huko huko.
Huyo jamaa sijui kama ana mshipa wa aibuNjaa mbaya sana, haijalishi unaelimu gani. Prof ameizalilisha elimu yake kisa pesa.
Cdm kwa sasa ndiyo chama dume kuliko saccos ya Lipumba na SakayaHata CDM inaelekea huko huko.