Kitoabu JF-Expert Member Joined Jul 7, 2011 Posts 10,677 Reaction score 11,768 Sep 15, 2020 #21 Mmawia said: Cuf haina tena mvuto hamna tofauti na Lyatonga Click to expand... Hata CDM inaelekea huko huko.
Mmawia said: Cuf haina tena mvuto hamna tofauti na Lyatonga Click to expand... Hata CDM inaelekea huko huko.
mdudu JF-Expert Member Joined Feb 6, 2014 Posts 7,013 Reaction score 10,000 Sep 15, 2020 #22 Zamaulid said: Ila profesa hana mshipa wa aibu Click to expand... Pamoja na kurugenzi you yake ya habari
Zamaulid said: Ila profesa hana mshipa wa aibu Click to expand... Pamoja na kurugenzi you yake ya habari
A Akili 2 JF-Expert Member Joined Jul 2, 2018 Posts 1,221 Reaction score 1,849 Sep 15, 2020 #23 Kadhi Mkuu 1 said: Wako wengi tuu wanajitoa ufahamu eti kila mmoja anajitapa atashinda na kuwa rais. Hawana akili pumbafff zao wote wanaojua wanasindikiza halafu wamekata mshipa wa aibu kuropoka bila aibu eti watakuwa Marais hapo October. Click to expand... ππππ Hadi watia aibu Sana na kushangaza kila mtu anasema et atakuwa raisi
Kadhi Mkuu 1 said: Wako wengi tuu wanajitoa ufahamu eti kila mmoja anajitapa atashinda na kuwa rais. Hawana akili pumbafff zao wote wanaojua wanasindikiza halafu wamekata mshipa wa aibu kuropoka bila aibu eti watakuwa Marais hapo October. Click to expand... ππππ Hadi watia aibu Sana na kushangaza kila mtu anasema et atakuwa raisi
Ulimakafu JF-Expert Member Joined Mar 18, 2011 Posts 31,248 Reaction score 13,244 Sep 15, 2020 #24 Zamaulid said: Ila profesa hana mshipa wa aibu Click to expand... Njaa jamani haina baunsa. Nzala mbhi.
Zamaulid said: Ila profesa hana mshipa wa aibu Click to expand... Njaa jamani haina baunsa. Nzala mbhi.
Haiku JF-Expert Member Joined Mar 31, 2018 Posts 2,915 Reaction score 2,050 Sep 15, 2020 #25 Njaa mbaya sana, haijalishi unaelimu gani. Prof ameizalilisha elimu yake kisa pesa.
Mmawia JF-Expert Member Joined Aug 20, 2013 Posts 122,494 Reaction score 96,074 Sep 15, 2020 #26 Kitoabu said: Hata CDM inaelekea huko huko. Click to expand... Shekhe Yahaya Husein alisha fariki
Mmawia JF-Expert Member Joined Aug 20, 2013 Posts 122,494 Reaction score 96,074 Sep 15, 2020 #27 parts said: Njaa mbaya sana, haijalishi unaelimu gani. Prof ameizalilisha elimu yake kisa pesa. Click to expand... Huyo jamaa sijui kama ana mshipa wa aibu
parts said: Njaa mbaya sana, haijalishi unaelimu gani. Prof ameizalilisha elimu yake kisa pesa. Click to expand... Huyo jamaa sijui kama ana mshipa wa aibu
Mmawia JF-Expert Member Joined Aug 20, 2013 Posts 122,494 Reaction score 96,074 Sep 15, 2020 #28 Kitoabu said: Hata CDM inaelekea huko huko. Click to expand... Cdm kwa sasa ndiyo chama dume kuliko saccos ya Lipumba na Sakaya
Kitoabu said: Hata CDM inaelekea huko huko. Click to expand... Cdm kwa sasa ndiyo chama dume kuliko saccos ya Lipumba na Sakaya