STRUGGLE MAN
JF-Expert Member
- May 31, 2018
- 8,633
- 16,586
Pipa na mfuniko vinagombana [emoji1787]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tatizo nadhani waliomuweka wanamtishaYaana mafaraka ni sawa na madawa ya kulevya.
Mama Samia anaona jinsi mwenda kuzimu anavyo laumiwa na kusutwa kwa aliyo watendea watu.
Lakini bado haoni maana ya kujiandalia maisha mema ya baadae.. Bado nae ana fuata ujinga wa mwenda kuzimu.
Ndipo ninapo amni ni vugumu sana hawa watu kuionja pepo.
View attachment 1984094
Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), Prof. Ibrahim Lipumba amemtaka Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania, IGPSimon Sirro kuitafuta saa yake ya mkononi aliyonyang'anywana askari wake wakati wa mvutano ulioibuka karibuni.
Akizungumza na wanachama wa chama hicho na wananchi mkoani Tabora, Lipumba amelishutumu jeshi hilo kwa kuvuruga shughuli za chama hicho zilizopangwa kufanyika, ikiwemo uziunduzi wa mashina katika kata za Mbugani na Mapambano pamoja na kuchangia damu.
Amesema polisiwaliwazuia kufanyia shughuli hiyo kwenye ofisi zao, badala yake wafanyie kwenye ukumbi, na kwamba mwishoni walifanikiwa kuchangia chupa 20.
Amesema atamshauri Rais atembee kwenye kauli zake zakutetea demokrasia ya kweli, yenye msingi wa maendeleo pamoja na kulinda heshima na utu wa Watanzania.
Ameongeza kuwa haki ni muhimu kwani itawezesha wananchi kufanya kazi kwa uhuru, hivyo kujiletea maendeleo na kwamba Rais atakumbukwa na kujipatia heshima kutokana na kusimamia kauli yake, na kwamba akija kugombea tena kazi inakuwa nyepesi.
Kuna ku come backSi alistaafu siasa huyu
Mamluki asee huyu jamaaHawa ni vibaraka wa ccm wanavuruga siasa na demokrasia nchini wakijidai kama nao wapinzani waongo wakubwa pandikizi
Kwamba chanjo ina shida au?Tangu Achanje Leo Kazinduka