Parvovirus
JF-Expert Member
- May 24, 2020
- 268
- 188
Moto unaharufu gani mkuu.... Yaani hata angepata coverage ya vyombo vya habari jamaa ashachuja. Na kitu kinachoonekana nikama hata wengine wa Chadema viongozi nikama wamemuacha mwenyewe yani.Lisu ni kama moto, hata usipouona utasikia harufu yake. Huyo Lisu hata asipotangazwa na chombo chochote cha habari humu nchini, bado habari zake watu watazitafuta...
Atakata pumzi mapema sana kipindi cha kampeni