Parvovirus
JF-Expert Member
- May 24, 2020
- 268
- 188
Moto unaharufu gani mkuu.... Yaani hata angepata coverage ya vyombo vya habari jamaa ashachuja. Na kitu kinachoonekana nikama hata wengine wa Chadema viongozi nikama wamemuacha mwenyewe yani.Lisu ni kama moto, hata usipouona utasikia harufu yake. Huyo Lisu hata asipotangazwa na chombo chochote cha habari humu nchini, bado habari zake watu watazitafuta...
Wapo pia wanaozitafuta habari za Lipumba na CUF kwa ujumla kama ambavyo wewe unatafuta habari za Lissu hata pale vyombo vya habari vinapompotezea, huo umoto wa Lissu upo kwa watu wa aina yenu tena humu mitandaoni na ndio maana kutwa mmekuwa mkilaumu vyombo vya habari kwa kumpotezea huyo moto wenu, na hii ni wazi kuwa wanachokifanya vyombo vya habari kina athari na ndio maana mnapiga kelele.Lisu ni kama moto, hata usipouona utasikia harufu yake. Huyo Lisu hata asipotangazwa na chombo chochote cha habari humu nchini, bado habari zake watu watazitafuta. Mpaka sasa Tundu Lisu hapewi covarage na vyombo rasmi vya habari, na hata akipewa ni zile negative, lakini ndio mwenye mvuto automatically kwa watu. Huo ndio ukweli usiopingika. Huyo Lipumba acha tu kupewa covarage na vyombo vya habari, hata awe mtangazaji kwenye media zote au mwenyekiti wa tume ya uchaguzi, hana mvuto tena.
Kwani Professor Ana mashaka gani yeye sianakubalika hata ameachiwa office za Buguruni pamoja na chama, wale alioona wanamgasi so wameondoka, hata ruzuku wamemwachiaMgombea urais wa CUF, Prof Lipumba amemshukia vikali Tundu Lissu kwa kumuita mnafiki asiyejua chochote kuhusu sera, amani, maendeleo na demokrasia ya nchi yetu...
Huyu mwamba this time hadi Spunda mzee wa wali atampita😂😂Mgombea urais wa CUF, Prof Lipumba amemshukia vikali Tundu Lissu kwa kumuita mnafiki asiyejua chochote kuhusu sera, amani, maendeleo na demokrasia ya nchi yetu...
Moto unaharufu gani mkuu.... Yan hata angepata coverage ya vyombo vya habar jamaa ashachuja
Na kitu kinachoonekana nikama hata wengine wa chadema viongozi nikama wamemuacha mwenyewe yani
Atakata pumzi mapema sana kipind cha kampeni
Mzee Prof. sana Lipumba ina maana hujaelewa kwanini umejumuishwa na na Magufuli kwenye pingamizi wewe ni nyau chini ya meza ya bwana mkubwa watu wanaona!!Mgombea urais wa CUF, Prof Lipumba amemshukia vikali Tundu Lissu kwa kumuita mnafiki asiyejua chochote kuhusu sera, amani, maendeleo na demokrasia ya nchi yetu...
Mbowe ni mgombea urais? Dah akili zenu mataga mnawaza nini?Akamuwekee pingamizi Mbowe
Nakuuliza, Mbowe ni mgombea urais? Mataga mna matatizo gani vichwani mwenu?!Kumuwekea pingamizi Mbowe siyo Uhuru wa kidemokrasia?
Kwanini asi attack direct ni mjinga basi kama ni hivyo, hawezi kumtukana mtu kupitia mwingine.Lipumba wewe ni Profesa lakini ni kila.za! Tundu Lissu alikutumia tu kama scapegoat katika kum- attack Rais Magufuli! You are clever but not intelligent !
Haina haja ya kumuongelea maana tutakua tunapoteza muda tu.Mgombea urais wa CUF, Prof Lipumba amemshukia vikali Tundu Lissu kwa kumuita mnafiki asiyejua chochote kuhusu sera, amani, maendeleo na demokrasia ya nchi yetu...