PostGE2025 Prof. Lipumba ataka Serikali ya Mpito kusimamia Maridhiano na Katiba Mpya. Aikataa tume ya Chande

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

figganigga

Platinum Member
Joined
Oct 17, 2010
Posts
28,132
Reaction score
64,416
Ibrahim Lipumba ataka Serikali ya Mpito kusimamia Maridhiano na Katiba Mpya. Aikataa tume ya Chande.

Lipumba amesema Tume ya Chande ilienda kufanya kazi ambayo majibu yashatoka.

Amesema Mama Samia alisema watu walipewa fedha, Watu walitaka kupundua Serikali nk. Sasa kama chanzo cha vurugu alijua kwanini aunde Tume?

Kwamba CCM. sio chama cha siasa bali chama dola cha katiba ya 1977 ambayo inaweza kumfanya samia kuwa Dikteta. CCM hawawezi kutupa katiba mpya.

Nchi tajirii watu wake Masikini. Kasema

Your browser is not able to display this video.
 
👊
 
nonsense,
ukishapoteza uelekeo wa kisiasa unakua useless kwa kila kitu
 
Wakiwa nje ya mfumo wanaongea ukwel kuitisha serikal iwaone wapate teuz

Huyo prof na mwenzie Dr slaa ndio chanzo cha haya yote 2015 mzee lowasa aliluwa.anaichukua nchi na Leo hii huyu wa ELIMU MBALIMBALI tusingemjua
 
Aliingiziwa 1B kwenye acc yake ili aidhoofishe CUF.. Akaenda Kariakoo akaoneshwa ghorofa wakati akiwa kwenye mchakato wa kulipa akaambiwa amechaguliwa kuwa mmojawapo wa waangalizi wa uchaguzi wa Rwanda toka Tanganyika
Hivyo anaweza kutoa advance ya kishika uchumba halafu akirudi anamalizia mchakato

Akapewa mkataba wa awali uliokuwa na kipengele cha kutorudisha advance kama akishindwa kumalizia malipo (hakuwa na shaka kwakuwa mzigo ulikuwa umetulia bank)

Akapewa VIP treatment kwenda Rwanda na kurudi Tanganyika baada ya uchaguzi kumalizika

Baada ya kurudi akatulia siku 2 ili ya 3 aende akakamilishe mchakato wa kumiliki mjengo Kariakoo

Lahaula kufika bank account inasoma sifuri na ina deni la service charge🤣🙌🏿
Kutaka kufuatilia advance akakumbuka alisaini mkataba wa kutorudishiwa advance biashara ikishindikana😂🙌🏿

Mchezo mzima ulichezwa na vijana wa jiwe😂
 
Duuh Hadi Lipumba?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…