johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Prof. Libumba hajawahi kunifundisha, isipokuwa Dr. Osoro alinipa changamoto nyingi ktk Micro Analysis 1 & 2 na Public Finance nikiwa mwaka wa mwisho wa digrii yangu ya kwanza.Nina umri wa kutosha sasa, Dr. Dau alinifundisha MK 100 nikiwa UDSM, hali kadhalika Mr. Assad by then akinifundisha AC 100. Lakini ktk post graduate studies Dr. Assad by then alifundisha tena Accounting sikumbuki vyema lkn itakuwa AC 600. Professional
Kauli kama zilaaniwe vikali!Dau huyu aliyejaza watu wa tanga NSSF na wizi wa miradi akishirikiana na zito akiwa PAC
State agent
Kibaya chajiuza kizuri chajitembeza.Ukifanya uchunguzi mdogo tu utagundua katika mazingira fulani watatu hawa Prof Lipumba, Dr Dau na Prof Assad wanafanana sana.
Na lililo kuu wote ni walimu wa Udsm kama ilivyo kwa Prof Kabudi.
Lakini watatu hawa umaarufu wao " umetengenezwa" zaidi na wanasiasa vijana kwa sababu za kisiasa " zaidi "
Ukiwaangalia katika upande wa taaluma na utendaji ni watu wa kawaida kabisa.
Nadhani nimeeleweka
Maendeleo hayana vyama!
The trio wamkula sana pesa pale NSSF. Lilikuwa janga la kitaifa na kuna watu wamekopa mabillioni hawawezi kurudisha kisa hawana hizo pesa. JPM anavyosema nchi hii ni Tajiri anao ushahidi.
Hakukuwa na ulazima wala umuhimu wa kusema "pamoja ya kwamba mimi ni mkristo......"Prof. Libumba hajawahi kunifundisha, isipokuwa Dr. Osoro alinipa changamoto nyingi ktk Micro Analysis 1 & 2 na Public Finance nikiwa mwaka wa mwisho wa digrii yangu ya kwanza.
Pamoja ya kwamba mimi ni Mkristo, natambua umahiri wa hivi vichwa vya Dr. Dau na Prof. Assad. Ni watu makini wenye ueledi mkubwa sana, lkn pia ni watu wacha Mungu mno kupitia imani ya dini zao.