Period!!Mzee Assad ukweli ndio umemponza.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Period!!Mzee Assad ukweli ndio umemponza.
Ukifanya uchunguzi mdogo tu utagundua katika mazingira fulani watatu hawa Prof Lipumba, Dr Dau na Prof Assad wanafanana sana.
Na lililo kuu wote ni walimu wa Udsm kama ilivyo kwa Prof. Kabudi.
Lakini watatu hawa umaarufu wao " umetengenezwa" zaidi na wanasiasa vijana kwa sababu za kisiasa " zaidi "
Ukiwaangalia katika upande wa taaluma na utendaji ni watu wa kawaida kabisa.
Nadhani nimeeleweka.
Maendeleo hayana vyama!
Je, Prof Lipumba bado anaheshimiwa huko nje hata sasa!Assad anaheshimika sana huko nje, humu ndani tunamchukulia katika ule msemo wa nabii hakubaliki kwao.
Prof Muhongo alifikia hatua ya kudhihakiwa na Dr Kigwa bungeni wakati huko nje ni mtu mkubwa sana.
Kazi anazopewa Lipumba huko nje ni kubwa sana lakini humu jukwaani anadharauliwa vibaya mno.
Ni rahisi kuwakebehi wasomi wetu humu nchini mwetu lakini huko nje wanaijua sana kazi yao.
Watanzania sisi kwa sisi tunadharauliana lakini huko nje wana mitazamo tajiri yenye kuuheshimu uwezo wa mtu.
Hiyo nia ovu ni ya kwako wewe usinisingizie!Mtoa mada una agenda ya siri iliyojificha nyuma ya mada yako
Yampasa mtu awe na jicho la tatu kuelewa hasa nini maana ya post yako
Acha nia yako hiyo ovu utaumbuka
We are born equally no matter what.....
Acha kumfananisha Assad ,Dau nahuyo nahuyo kibaraka. Umewai wakuta wapi hao wawili wakifanya siasa???Ukifanya uchunguzi mdogo tu utagundua katika mazingira fulani watatu hawa Prof Lipumba, Dr Dau na Prof Assad wanafanana sana.
Na lililo kuu wote ni walimu wa Udsm kama ilivyo kwa Prof. Kabudi.
Lakini watatu hawa umaarufu wao " umetengenezwa" zaidi na wanasiasa vijana kwa sababu za kisiasa " zaidi "
Ukiwaangalia katika upande wa taaluma na utendaji ni watu wa kawaida kabisa.
Nadhani nimeeleweka.
Maendeleo hayana vyama!
Kumbuka utendaji wa mtu huendana na umri wake.Je, Prof Lipumba bado anaheshimiwa huko nje hata sasa!
WAGALATIA NI WAPUUZI SANA,
YAANI MNAJIAMINISHA KUWA NINYI NDO WENYE AKILIKULIKO WENGINE AU SIO...
JAMAA UMEJAAWA NA UDINI WA HALI YA JUU JAPO UMESHINDWA KUWA MUWAZI KWA CHUKIZAKO DHIDI YA NDUGU ZETU WAISLAAM.
INAONEKANA NINYI NDIO MLIOKUWA MNAMPINGA MAMA SAMIA KIPINDI KILE CHA UZUSHI ALIOUENEZA KIGOGO.UKIWA MASIKINI WA AKILI SIKU ZOTE UNAISHIA KWENYE MAJUNGU NA CHUKI
PHACOCHERE MKUBWA WEWE
Mtoa mada una agenda ya siri iliyojificha nyuma ya mada yako
Yampasa mtu awe na jicho la tatu kuelewa hasa nini maana ya post yako
Acha nia yako hiyo ovu utaumbuka
We are born equally no matter what.....
Assad anaheshimika sana huko nje, humu ndani tunamchukulia katika ule msemo wa nabii hakubaliki kwao.
Prof Muhongo alifikia hatua ya kudhihakiwa na Dr Kigwa bungeni wakati huko nje ni mtu mkubwa sana.
Kazi anazopewa Lipumba huko nje ni kubwa sana lakini humu jukwaani anadharauliwa vibaya mno.
Ni rahisi kuwakebehi wasomi wetu humu nchini mwetu lakini huko nje wanaijua sana kazi yao.
Watanzania sisi kwa sisi tunadharauliana lakini huko nje wana mitazamo tajiri yenye kuuheshimu uwezo wa mtu.
Mchanganyiko wa siasa na masuala ya kiuchumi huwa na madhara ya moja kwa moja kwenye uchumi.Mambo ya Tanzania magumu sana ndugu yangu.
Hawa wataalamu wetu wakija huku kuna mahala wanakwama na huwa tukisema wale ndugu zetu wapenda siasa wanaanza kuleta siasa zao, Jibu ni rahisi sana mifumo sio rafiki kwa wataalamu kufanya kazi. CCM kama chama tawala kimejikita kutawala na kupambanie existence yake hivyo hata ukiwa mtaalam lazima uishi kwa kusimamia hilo.. Jaribu kumuangalia yule Prof Mbawala saikolojia yake utaona kabisa sio mwanasiasa na hataki siasa lakini analazimishwa kuishi hivyo.
Kauli kama zilaaniwe vikali!
Hivi unamjua Profesor Lipumba kweli wewe? tunaweza mponda kwenye mambo yake ya siasa ila professional yake.