Uchaguzi 2020 Prof. Lipumba: Kura sio siri tena

uko sahihi mkuu
 
Miaka yote iko hivyo, namba ya kitambulisho huandikwa kwenye kipande kinachobaki baada ya karatasi ya kupigia kura kuchomolewa so inabaki kwenye kile kipande kwa msimamizi hazikai kwenye karatasi ya mpiga kura.

#CCM itashinda kwa kishindo
 
daaah,nimepata wasiwasi sana leo wakat msimamiz anajaza number za kadi kwenye karatasi za kura...huo usiri wa kura cjui uko wap...
TOTᗩᒪ ᑎOᑎՏᗴᑎՏᗴ huu uchaguzi...
Itakuwa mara yakwanza kupiga kura na bahati mbaya hukuchunguza vyema
 
Miaka yote iko hivyo, namba ya kitambulisho huandikwa kwenye kipande kinachobaki baada ya karatasi ya kupigia kura kuchomolewa so inabaki kwenye kile kipande kwa msimamizi hazikai kwenye karatasi ya mpiga kura.

#CCM itashinda kwa kishindo
CCM Oyee,shangilia ushindi unakuja! Ni mafiga matatu tu Rais ,Mbunge na Diwani wote wa CCM!
 
Kazi ya TISS Mkuu hiyo AKA usalama wa JIWE Oooops! usalama wa Taifa.

Je, kura hii ni Siri?

Kwanini mwaka huu tofauti na miaka mingine, NEC wameweka sehemu ya kujaza namba za kitambulisho.

Huku wakiwataka wafanyakazi wa uma kupiga kura siku moja kabla?

Je, Ajira za watu hasa walio chagua upinzani ziko salama?
 
Kwani kuna serial number zinazo fanana kwenye karatasi inayochanwa na inayobaki ktk kitabu?
 
Mkuu yani hii awamu ya tank
Hazina, acheni kudanganya

Vile ni vishungi vinabakia kwenye kile kitabu cha karatasi

Namba haziandikwi kwenye karatasi za kura na wala hakuna mtu anaweza jua umempigia kura nani.
Kwani Lipumba kasemaje mkuu.
 
Kwani kuna serial number zinazo fanana kwenye karatasi inayochanwa na inayobaki ktk kitabu?
Ipo serial number inafanana, wakitaka wanafanya tracing na kujua ulimpigia nani. Mimi nimechoka leo baada ya kuona ule utaratibu!
 
Ipo serial number inafanana, wakitaka wanafanya tracing na kujua ulimpigia nani. Mimi nimechoka leo baada ya kuona ule utaratibu!
Relux, kura ni siri. Matumizi mabaya ya usiri huo ni kosa kisheria.
 
Ipo serial number inafanana, wakitaka wanafanya tracing na kujua ulimpigia nani. Mimi nimechoka leo baada ya kuona ule utaratibu!
Mie sikuangalia ile karatasi ya kupigia Kama ina serial number.Ila haina shida
 
Magufuli anavuna alichopanda. Watu hawaoni sababu ya kupiga kura wakijua amepanga atangazwe yeye kuwa Rais. Hata kuitangaza siku ya leo kuwa public holiday haina maana.
Sio Mgufuli pek yake, wote wataathirika
 
Sasa kuna faida kumfuatilia mtu mmoja mmoja ? Hata kama wewe ni prof. Kwa lugha ya kustaarabu tunakuambia tu kuwa mawazo yako yaheshimiwe Tumeshachoka kutukana sisi.
 
Kwani uchaguzi uliopita hakupiga kura? Mbona ilikuwa hivyo hivyo. Nadhani hii story umetunga wewe tu, siyo ya Prof. Lipumba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…