Bongo dar es salaam
Senior Member
- May 11, 2020
- 172
- 469
Watu mjitahidi tutumia vichwa vyenu sio mnabebea tu nywele
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
uko sahihi mkuuMimi niliuliza karani kwa nini unaandika namba yangu ya kadi ya kupiga kwenye karatasi wakati kura ni siri yangu.Jibu ni hivi,karatasi ya kupiga haina namba ya kumbukumbu (SERIAL NO) ila kwenye kitabu wanakochana pale kwenye shina ndipo kuna serial number.Namba ya kadi yako inaandikwa pale kwenye shina la kitabu.Kwa upande fulani ni nzuri kama kutatokea tatizo la kuhakiki idadi ya wapiga kura!
Itakuwa mara yakwanza kupiga kura na bahati mbaya hukuchunguza vyemadaaah,nimepata wasiwasi sana leo wakat msimamiz anajaza number za kadi kwenye karatasi za kura...huo usiri wa kura cjui uko wap...
TOTᗩᒪ ᑎOᑎՏᗴᑎՏᗴ huu uchaguzi...
CCM Oyee,shangilia ushindi unakuja! Ni mafiga matatu tu Rais ,Mbunge na Diwani wote wa CCM!Miaka yote iko hivyo, namba ya kitambulisho huandikwa kwenye kipande kinachobaki baada ya karatasi ya kupigia kura kuchomolewa so inabaki kwenye kile kipande kwa msimamizi hazikai kwenye karatasi ya mpiga kura.
#CCM itashinda kwa kishindo
Je, kura hii ni Siri?
Kwanini mwaka huu tofauti na miaka mingine, NEC wameweka sehemu ya kujaza namba za kitambulisho.
Huku wakiwataka wafanyakazi wa uma kupiga kura siku moja kabla?
Je, Ajira za watu hasa walio chagua upinzani ziko salama?
Kwani Lipumba kasemaje mkuu.Hazina, acheni kudanganya
Vile ni vishungi vinabakia kwenye kile kitabu cha karatasi
Namba haziandikwi kwenye karatasi za kura na wala hakuna mtu anaweza jua umempigia kura nani.
Ipo serial number inafanana, wakitaka wanafanya tracing na kujua ulimpigia nani. Mimi nimechoka leo baada ya kuona ule utaratibu!Kwani kuna serial number zinazo fanana kwenye karatasi inayochanwa na inayobaki ktk kitabu?
Relux, kura ni siri. Matumizi mabaya ya usiri huo ni kosa kisheria.Ipo serial number inafanana, wakitaka wanafanya tracing na kujua ulimpigia nani. Mimi nimechoka leo baada ya kuona ule utaratibu!
Chai.Ipo serial number inafanana, wakitaka wanafanya tracing na kujua ulimpigia nani. Mimi nimechoka leo baada ya kuona ule utaratibu!
Mie sikuangalia ile karatasi ya kupigia Kama ina serial number.Ila haina shidaIpo serial number inafanana, wakitaka wanafanya tracing na kujua ulimpigia nani. Mimi nimechoka leo baada ya kuona ule utaratibu!
PumbavuSafi sana, ukipigia Chadema nakufuta kazi
Sio Mgufuli pek yake, wote wataathirikaMagufuli anavuna alichopanda. Watu hawaoni sababu ya kupiga kura wakijua amepanga atangazwe yeye kuwa Rais. Hata kuitangaza siku ya leo kuwa public holiday haina maana.
Sasa kuna faida kumfuatilia mtu mmoja mmoja ? Hata kama wewe ni prof. Kwa lugha ya kustaarabu tunakuambia tu kuwa mawazo yako yaheshimiwe Tumeshachoka kutukana sisi.Prof. Lipumba ameibua hoja nzito kuhusu USIRI WA KURA kwenye Uchaguzi huu.
Akihojiwa na ITV mchana huu amesema ameshtushwa na Makarani ambao walikuwa wakinakiri namba za Kitambulisho cha Mpiga Kura kwenye Karatasi ya Mpiga Kura.
Hivo Tume au Serikali wakitaka kujua nani kampigia nani ni rahisi sana. Wanaingiza namba ya Kitambulisho halafu Wana Search na jina litaonekana.
Wewe unasemaje?
Tujadili.
Kwani uchaguzi uliopita hakupiga kura? Mbona ilikuwa hivyo hivyo. Nadhani hii story umetunga wewe tu, siyo ya Prof. LipumbaProf. Lipumba ameibua hoja nzito kuhusu USIRI WA KURA kwenye Uchaguzi huu.
Akihojiwa na ITV mchana huu amesema ameshtushwa na Makarani ambao walikuwa wakinakiri namba za Kitambulisho cha Mpiga Kura kwenye Karatasi ya Mpiga Kura.
Hivo Tume au Serikali wakitaka kujua nani kampigia nani ni rahisi sana. Wanaingiza namba ya Kitambulisho halafu Wana Search na jina litaonekana.
Wewe unasemaje?
Tujadili.
Ungeuliza hivi ,naye anaitaka democrasia,kulikoni,mbona matendo na maneno vyaenda tofauti.Lipumba naye atulie ni muda wa kustafu siasa akalee wajukuu