Super Sub Steve
JF-Expert Member
- Jul 9, 2011
- 17,404
- 10,900
Miaka yote wanaandikaga na Wala leo sio Mara ya kwanzaAsieee ni kweli hata mimi nimeandika namba yangu ya kitambulisho hii inashangaza jamani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Miaka yote wanaandikaga na Wala leo sio Mara ya kwanzaAsieee ni kweli hata mimi nimeandika namba yangu ya kitambulisho hii inashangaza jamani
Voters suppression imeanza 2017 niliwahi ku comment hili suala way back humu ndani hii itampa kura nyingi sana JPM acha hilo Upinzani hamna organization kabisa mnapenda vijembe mitandaoni kuliko kufanyia kazi matokeo yenye uhalisia. Suala la kutokuwa na tume huru na wananchi wanaoamini mnachosema (hapa nasisitiza tena msidanganyike na umati wa watu wanaokuja ni wachache sana wapo tayari kupigania your cause na hili mtaliona karibuni japo sijui kama mtajifunza!!) linawafelisha sana. Poleni sanaHuu uchaguzi ni upuuzi kama upuuzi mwingine na ndio maana watanzania wengi wamepuuza zoezi zima. Idadi ya wapiga kura ni ndogo kuliko maelezo kwenye vituo. Mambo kama hayo nani yuko tayari kwenda kushiriki huo upuuzi?
Miaka yote ipo hivyo na sio mara ya Kwanza leo.Kuandika namba vile Ni nzuri kwenye kuhakiki idadi ya kura Kama kutatokea tatizoMimi niliuliza karani kwa nini unaandika namba yangu ya kadi ya kupiga kwenye karatasi wakati kura ni siri yangu.Jibu ni hivi,karatasi ya kupiga haina namba ya kumbukumbu (SERIAL NO) ila kwenye kitabu wanakochana pale kwenye shina ndipo kuna serial number.Namba ya kadi yako inaandikwa pale kwenye shina la kitabu.Kwa upande fulani ni nzuri kama kutatokea tatizo la kuhakiki idadi ya wapiga kura!
Upo sahihi.Kwa upande wangu zoezi la kunakiri namba ya kitambulisho naona Ni jema hasa inapotokea Kuna utata wa kura kitu Cha kwanza wanahesabia vishina kuona Kama kura zilizopigwa zinaendana na vishinaprofesa anaweza kuwa hayuko sahihi.
pepa ina pande mbili - kipande chembamba cha juu chenye visanduku vya kuandika namba na kipande kikubwa cha chini chenye picha za wagombea. zinapotenganishwa, kile kipande cha juu kinabaki na huyo karani, mpiga kura anaondoka na kipande cha chini chenye picha ya wagombea tu kwa ajili ya kuenda KUPIGA SPANA kwenye kizimba.
kwa muktadha huo unawezakujua ni nani nanani wamepiga kura lakini ni vigumu kujua nani kampigia nani?
magufuli chaliii.
Maana yake nnAnazeeka vibaya, namba inaandikwa pale juu ndio lakini baadae inapochanwa karatasi ili upewe ukapige kura, ile namba inabaki kwenye kitabu haitoki na karatasi.
Lazima namba yako imenakiriwa lakini Ni kwenye kibutu.(Kishina) karatasi ya kupigia kura haina hizo namba hivyo Ni ngumu kujua Nani kampigia naniMmi nimepiga kura asubuhi hii na hicho kitu hakijatokea kwangu. Mh. unanitia shaka kwa maelezo yako haya!!!View attachment 1614664
Hahaha..hata kama ni ushabiki,mara moja moja jenga hoja basi
Ikitokea utata wa kura feki inasaidia,kulinganisha idadi ya kura zilizopigwa na vile vishina lazima ziendane.Kwa mfano wakala mjanja lazima kabla ya kuhesabia kura atamuomba msimamizi wa kituo wahesabie vile vishina Kwanza ndo waende kwenye kura.Kura za kwenye box lazima ziendane na vishinaMaana yake nn
Mie kitendo Cha watu kutopiga kura huwa kinanisonesha Sana,na Hili limekuwa tatizo kubwa la Upinzani kwa muda mrefu.watu wapige kura halafu wao wakiiba Hilo lao.Huu uchaguzi ni upuuzi kama upuuzi mwingine na ndio maana watanzania wengi wamepuuza zoezi zima. Idadi ya wapiga kura ni ndogo kuliko maelezo kwenye vituo. Mambo kama hayo nani yuko tayari kwenda kushiriki huo upuuzi?
Wewe ni mpumbavu mkubwa na huna akili, mimi nimeshuhudia kwa macho yangu makarani wanaandika jina la mpiga kura kwenye note book na namba ya kitambulisho pembeni, nikamuuliza kwa nini unaandika namba ya kitambulisho changu pembeni? Akasema ndiyo utaratibu, nikamwambia muongo na kuwauliza mawakala 4 waliokuwemo but nikagundua hawajui chochote....Lipumba naye atulie ni muda wa kustafu siasa akalee wajukuu
Siyo siri tena kama alivyosema Lipumba...Watajua hawajui, kura itabaki kuwa ya siri tu, Magufuli kama anataka kujua tuliomkataa kwenye Uchaguzi huu atakutana na mamilioni ya waTz,
Acha ufala wewe pimbi, nimeona kabisa namba ya kitambulisho inaandikwa nyuma ya ballot paper...Namba wananakiri kwenye shina la ballot kule kwenye kitabu. Unaweza kujua nani alipiga kura lakini hauwezi kujua alimpigia nani. Lipumba aache wenge.
Ila ujue kura yako siyo siri yako tena...Mimi niliuliza karani kwa nini unaandika namba yangu ya kadi ya kupiga kwenye karatasi wakati kura ni siri yangu.Jibu ni hivi,karatasi ya kupiga haina namba ya kumbukumbu (SERIAL NO) ila kwenye kitabu wanakochana pale kwenye shina ndipo kuna serial number.Namba ya kadi yako inaandikwa pale kwenye shina la kitabu.Kwa upande fulani ni nzuri kama kutatokea tatizo la kuhakiki idadi ya wapiga kura!
Why in future? Ifunguliwe kesi kabisa aisee maana baada ya uchaguzi wataanza kutesa watu hovyo hawa watu....Prof Lipumba amesema kweli. Hili swala liangaliwe in the future.
ile namba inaandikwa kwenye kibutu pale juu sio kwenye form unayotumia kupiga kura yako so mwisho wa siku wao watabaki na data kuwa ulipiga kura lakini hawatajua ulimpigia nani coz karatasi la kura halina serial numberAsieee ni kweli hata mimi nimeandika namba yangu ya kitambulisho hii inashangaza jamani
Angalia hili lofa lingine, yaani completely out of context,linaongea upupu mtupu....Kuna muda ukiongea jambo fulani watu wanahisi 'there is something wrong in your mind'
Yaan tangu 1995 unapambana kwenye hamna.
Ni vizuri ukubali muda umekupita
Ili iweje?.Namba wananakiri kwenye shina la ballot kule kwenye kitabu. Unaweza kujua nani alipiga kura lakini hauwezi kujua alimpigia nani. Lipumba aache wenge.