Uchaguzi 2020 Prof. Lipumba kuunguruma leo wilayani Ushetu, Shinyanga

CUF Habari

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2019
Posts
239
Reaction score
234

PROF. LIPUMBA KUUNGURUMA LEO WILAYANI USHETU, SHINYANGA

Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Prof. Ibrahim Haruna Lipumba leo atawahutubia wananchi wa Wilaya ya Ushetu, Mkoani Shinyanga.

Prof. Lipumba atahutubia kata ya Idahina eneo la Mwabomba, Machimboni, kata ya Bulugwa saba sabini,na kumalizia kata ya Mpunze wilayani Ushetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…