CUF Habari
JF-Expert Member
- Dec 12, 2019
- 239
- 234
PROF. LIPUMBA KUUNGURUMA LEO WILAYANI USHETU, SHINYANGA
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Prof. Ibrahim Haruna Lipumba leo atawahutubia wananchi wa Wilaya ya Ushetu, Mkoani Shinyanga.
Prof. Lipumba atahutubia kata ya Idahina eneo la Mwabomba, Machimboni, kata ya Bulugwa saba sabini,na kumalizia kata ya Mpunze wilayani Ushetu